Recent content by Zion Train

  1. Z

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    hii video inahitaji maelezo mwanana kabisa toka kwa Mnyika, kila kitu kinawezekana kama unaiangalia bila ya mapenzi ya chama chochote, kapanga kweli, kapachikwa maneno, kanunuliwa aseme hivyo, yote ya hayo kwahaya anayosema humo kwa kweli haikubaliki ata hiwe azungumzwae si Kibanda, maana ata...
  2. Z

    Tahadhari: Biashara HARAMU ya Polisi Barabara ya Bagamoyo

    Hongera Dr kwa kufuatilia hiyo kitu, hakuna chochote wanachosafirisha zaidi ya unga, biashara ya wenyewe hiyo ndiyo maana inalindwa, kuwa muangalifu isiwe nawe wanakufuatilia
  3. Z

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    si habari ndogo kwa yanayotokea sasa tanzania
  4. Z

    Scania 124 , p360 for sale, ipo dar es salaam

    mkuu 113 8X4 memde,hiwe tipper ama vingine, unaweza niuzia kwa mil. ngapi?
  5. Z

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    kwa kweli labda umri tu ndiyo umuangushe, Zitto ni hazina yetu ya kujivunia kwenye uongozi.
  6. Z

    Zanzibar: Meli mpya yawasili!

    Mungu atuepushie mbali mkuu, lakini kuna baadhi ya ajali huwa tunazitafuta wenyewe, ukiangalia mabasi mengi yanayoanguka anguka ama kuwaka moto ovyo ni matokeo ya watu malori kugeuza mabasi, eti mtu tractor anarefusha chassis na anaunda basi na wiring wanafanyia mitaani kuepusha gharama, sasa...
  7. Z

    Zanzibar: Meli mpya yawasili!

    ni kama pantoni inayovusha watu kigamboni tu
  8. Z

    Mama wa Diamond ni mgonjwa

    naona usanii mpaka kwenye ugonjwa
  9. Z

    Wamangola deposit: Resource estimate at Tanzanian nickel prospect revised

    kila nikiangalia kilichopo hapa na vitabu vya dini tofauti vinavyoandika kuhusu paradise, kwakweli najikuta nikijiuliza kwamba paradise inayozungumziwa siyo hii nchi yetu kweli? tuna kila kila kitu, sijui ni kitu gani ambacho hatuna.
  10. Z

    Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

    kuna watu humu wanaleta mambo ya vyama, lakini mkae mkijua mwisho wa siku sisi sote ni watanzania, maskini na matajiri wote ni watanzania. ndugu Zitto usikatishwe tamaa na baadhi ya maneno ya kejeli ya baadhi yetu, binafsi sina jinsi tu, lakini nina imani kubwa sana na wewe! nafikiri tungeanzia...
  11. Z

    Ushuru wa bmw x5

    jiandae na USd 11500, siyo masihara, tafadhali ukilipa chini ya hiyo naomba uniambie njia ulizopitia
  12. Z

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    si amani kabisa, huu upepo haupaswi uachwe upite hata kidogo R.I.P. Daudi
  13. Z

    Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

    okey, hivyo vitu vya ndani vimenichosha, hata kama sina, kusema ukweli siyo vizuri kabisa, yani angeniita mimi nimrembeshee ndani kwake nyumba ingependeza zaidi, mtanda na huo msofa kwakweli ni BIG no.
  14. Z

    Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    magufuli aliamrisha barabara ichongwe, iweje umchongee barabara tapeli, kuna chunguzi za maana ambazo serikali inapaswa ifanye siyo kumaliza pesa zetu za kodi kwa kufany auchunguzi kama dawa ya babu ni kweli ama vipi, hivi kuna watu walifikiri kabisa ni kweli inaponya ukimwi
  15. Z

    Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

    kama wewe unajuwa si utueleze tu alimueleza nini Tido,? lowassa ndiyo ni jembe, lakini kwenye uwaziri mkuu tu na siyo urais, njemba ikiwa na maamuzi ya mwisho, kuna watanzania itabidi wakaombe ukimbizi
Back
Top Bottom