Recent content by zink

  1. zink

    Computer4Sale Dell Alieware Area 51 - 9th Gen

    Duuh hii hatari sasa
  2. zink

    Vodacom, compensation hii ya bando ni kwa kutuona je?

    Airtel hawajanipa hata MB 1 na siku moja kabla ya mtandao kupotea niliweka GB 1. Hii ni haki kweli wakuu?
  3. zink

    Baraza la Wafamasia kwa nini hamtoi matokeo?

    Paper lilivuja na inawezekana mkarudia mtihani mkuu, hivyo be patient.
  4. zink

    Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Kwa kifupi mitandao yote ifanye kama Vodacom kwa kulipa fidia
  5. zink

    Gaming laptops brand ya Mechanical revolution (Mechrevo)

    Ngoja wabobezi wa haya mambo waje mkuu
  6. zink

    Watu hufa

    Maisha tunapita mkuu.
  7. zink

    Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Nacte kuna upuuzi mwingi sana kule sijui kuna shida gani. nacte ukipata chini ya gpa ya 4 basi umetaka mwenyewe, kule gpa za 5 za kumwaga mkuu.
  8. zink

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Vyuo gani hivyo unavyozungumzia ebu taja kimoja.
  9. zink

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Unaonekana umetokea vijijini mkuu! kwahiyo kuna uhusiano gan hapo?
  10. zink

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Thibitisha mimi ni udoso. kwahiyo kuongelea mambo ya udom ndio kua udoso? kweli hii nchi ina vilaza wengi.
  11. zink

    DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Unazungumzia maji gani hayo mkuu? nenda udom ukaone kila block kuna matenki makubwa mawili ya maji. ishu kubwa hapo ni wanafunzi wenyewe kutojitambua na haiwezekani chuo kikubebe maji hadi chooni ukajisaidie huo utakua ni upuuzi mkuu...
Back
Top Bottom