Recent content by zandrano

  1. Z

    Je? Maagizo ya kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa 2024 yamepuuzwa?

    Hapo umekosea. Utawala wa awamu ya 6 ni utawala wa kufuata na kutii sheria. Mabasi yote yanayo pakia na kushusha abiria nje ya stendi ya magufuli lazima yazuiwe haraka sana. LATRA wanao wajibu wa kulisimamia agizo hilo.
  2. Z

    Je? Maagizo ya kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa 2024 yamepuuzwa?

    Kuna jeuri inaendelea. inakuwaje maagizo ya mamlka kupuuzwa?!!
  3. Z

    Niliyoyaona baada ya kuweka wazi khali yangu ya maambukizi ya UKIMWI

    Ukimwi ndio ugonjwa hatari zaidi duniani. Hauna tiba wala Kinga. Jihadhari .
  4. Z

    Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Kabla hajaanzisha kwanza aeleze kwa nini walimfukuza NCCR?
  5. Z

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Mhe. Makonda angekuwa waziri angewasaidia wananchi wengi, tatizo yupo Mkoa wa Arusha tu, je sisi tulio nje ya mkoa huo tunapataje msaada wake? Tunamuomba Mhe. RAIS aangalie namna yoyote ile Makonda awe waziri asiye na wizara maalum ili aweze kushughulikia kero za wananchi wote.
  6. Z

    Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

    Washukuriwe sana waasisi wa Taifa letu, kipee BABA wa Taifa JK Nyerere. Hakika aliweka misingi imara ndani ya Chama. Maono ya Nyerere yametimia. CCM itatawala milele na milelele.
  7. Z

    Mwanamke ni chanzo cha anguko la mwanaume

    Wanawake wema ni wachache sana, wengi wao ni wabaya kwa tabia zao na huvyo kupelekea wanaume wengi kufeli ktk maisha yao.
  8. Z

    Je? Maagizo ya kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa 2024 yamepuuzwa?

    Wiki tatu zilizo pita Kiongozi wa Mwenge kitaifa alitoa maagizo kuwa; Mabasi yote yanayo pakia na kushusha abiria nje ya Stendi ya Magufuli watoke huko na warudi ndani ya stendi. Kumekuwa na utitiri wa vituo vya mabasi ya abiria maeneo mbalimbali ya jiji la Dsm haswa maeneo ya Shekilango hadi...
  9. Z

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Mpaka sasa ugonjwa wa ukimwa ndio ugonjwa hatari zaidi duniani kuliko magonjwa mengine. Jambo la msingi kwa wenye VVU ni kuepuka ngono na kuwalinda wengine.
  10. Z

    Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hebu fafanua hazina ndio Benki gani? Kama hiyo Benki ya hazina ilitaka kukukopesha milioni 20 sasa tatizo ni nini? Ufafanuzi tafadhali.
  11. Z

    Kamati Kuu ya Chadema yakutana leo Tarehe 11/05/2024 Dar es Salaam

    Lisu aichana Chadema. Asema kuna baadhi ya viongozi wenzake wamehongwa kama walivyo hongwa kina Kaburu, Arfi, Mashinji na Slaa. Amedai kuna viongozi wenzake wamemuonya asilopoke mambo hadharani. Amedai wapo viongozi wenzake wanajaribu kumziba mdomo.adai tayari wamekula rushwa.
  12. Z

    Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Tatizo la Tundu anajazwa misifa ya uongo eti yeye ni jasiri!!....kisha anavimba kichwa na kujiona yeye ni jasiri nchi nzima .!! na kuanza kupwayuka ovyo ili ajionyeshe kuwa yeye ni jasiri!!!! hawa wanao mjaza misafa ya kijinga ndio walio mpoza hadi leo akawa mlemavu.
  13. Z

    Waziri Gwajima: Watanzania tuwe Makini na habari za Mtandaoni

    Tena nashangaa hadi leo hii tarehe 11/5/2024 kwanini hajakamatwa huyo muhuni. Nashauri mamlaka husika zimkamate haraka na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria ili iwe fundisho kwa wahuni wengine. Kamwe tusiwe na muhali kwa watu wa aina hii ambao wanalenga kuharibu jamii kwa maksudi. Na huyo...
  14. Z

    Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

    Mimi nikiwa kiongozi...sinto kubali kusifiwa sifiwa ovyo!! ukimkutu mtu haishi kusifia jua huyo ni MNAFIKI. KIONGOZI/VIONGOZI waogopeni sana wanao wasifia kutwa kucha!
Back
Top Bottom