Recent content by Yoda

  1. Yoda

    CCM rukhsa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Vipi wakimuunga mkono Lissu??
  2. Yoda

    NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

    Ubongo wake umeliwa na minyoo ya conspiracies.
  3. Yoda

    NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

    Kumbe Ukraine hawatalipia hizo silaha kama Pro-putin wengi ambavyo wamekuwa wakisema/kudanganya?! Kumbe hiyo misaada ni mzigo na hasara tupu kwa Marekani!
  4. Yoda

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Taifa lina changamoto nyingi sana!
  5. Yoda

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Hizo Kangoroo courts zinaweza kutuliza mambo kwa muda mfupi tu ila huwa zinaweza kugeuka na kuwa mwiba mkali.
  6. Yoda

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Njia sahihi ni watu wote kufuata utaratibu wa kimahakama au usuluhishi wa wanasheria kupata haki zao, ni jambo baya sana kuvigeuza vyombo vya dola kuwa wagawa haki, hiyo ni mifumo ya Kangoroo courts.
  7. Yoda

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.
  8. Yoda

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Elezea hao One 2 One Focus Limited na huyo Mwamwega wamafanya utapeli gani au makosa yao ni yapi. Malalamiko mengine ya wabongo dhidi ya matajiri na biashara zao ni kwa sababu ya kukosa uelewa na hulks ya ujamaa wa Nyerere ya kubeba zaidi wasio matajiri.
Back
Top Bottom