Ufisidi ni janga kubwa sana linalofanya kazi ya kukandamiza Taifa letu lishindwe kuinuka kwa haraka maana nguvu nyingi inatumika kufanya mambo ambayo ingepaswa kutumika nguvu kidogo tu. Miondombimbinu mibovu, kutumia fedha nyingi kununua bidhaa nje haya na mengine mengi ndiyo matunda yatokanayo...
Mmh ahaah..sidhani kama serikali ina mhukumu zumaridi kwa Yeye kujiita Mungu..ila kuna sababu ndani yake kama kuwafanya wanafunzi wasiende shule n.k na pia hongera kwa ujuzi wako wa uandishi ila kama kweli Zumaridi ni Mungu basi acha ajitetee mwenyewe maana umesema nafasi za utume n.k milango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.