Recent content by YABUUU

  1. Y

    Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Mshana wakumbushe kuwa kuna ulimwengu wa roho giza na ulimwengu wa roho nuru, ulimwengu wa roho ni halisi na kila jambo linaanzia kwenye ulimwengu wa roho giza au nuru. Tukio lolote linathibitika kakika ulimwengu wa mwili, baada ya kukamilishwa uko rohoni, ulimwengu wa roho giza unamilikiwa na...
  2. Y

    Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

    Wokovu ni mpango wa Mungu mwenyewe kumuakoa mwanadamu, kupitia YESU kristo. Philip 2:9-12
  3. Y

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Alipanga Mungu kama asingepanga angekua hai
  4. Y

    Msaada: Nimekuwa na mawazo ya kujiua kwa zaidi ya miaka 15

    Unamuhitaji Yesu kuliko chochote, taafta kiongozi nzuri wa kiimani akusaidie, wengi wenye Hali kama yako wamepona, pia Anza kuisoma bibilia hasa pale unapokua na msonge wa mawazo au kwenda kwenye kanisa na kukaaa umo hata ukiwa peke ako.
  5. Y

    Nyeti za siri zinapochafukwa

    Nchi ya kufikirika
  6. Y

    Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

    Mwaka 2008 nkiwa kidato Cha pili, nlimfedhesha mama na Mimi mwenyewe, nakumbuka suruali yangu ilikua imechanika nkamuomba mama anipe hela nipeleke kwa fundi, Nlikua nmesahau kabsa kuwa nmeweka kondom kwenye suruali iyo, mama akiwa na rafiki zake wakikundi akasema lete nione ilivyochanika, bila...
  7. Y

    Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

    Ipo saa yaja utahitaji kufanya haya, mark my words
  8. Y

    Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

    Kungekuea hakuna umuhimu serikali ingezuia MDA mrefu, hili suala liache Kama lilivyo
  9. Y

    Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

    Hasara kutoka kwenye yake magofu, ufisad wa Hali juu,
  10. Y

    Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Aiseeeee Kama ulikua unalipwa 420000, 2016 na mshahara ujapanda ni uonevu wa Hali ya juu, maisha yamepanda angalia sukar, mafuta nk, afu 15% ya loan bod juu yake, nabaki kusema 5tena
  11. Y

    Mke wangu ananishangaza sana matendo yake...

    Lea mtoto hayo mengine yaache
Back
Top Bottom