Recent content by Wazo la kabwela

  1. Wazo la kabwela

    Madai na hoja za muungano, huja kipindi tukiwa na Viongozi dhaifu?

    Mmoja aje hapa anipe faida za muungano... Asije na zile faida za kiwaki tulizozisoma form 2
  2. Wazo la kabwela

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Niliacha kwenda kanisani baada ya Padri GODIAN kutembea na wake za watu na wanafunzi
  3. Wazo la kabwela

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Siku pascal mayalla akiteuliwa hata kuwa DAS tuu jf italipuka... Kwani uteuzi unaosubiriwa kwa hamu ni wa pascal mayalla
  4. Wazo la kabwela

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Kwa hiyo leo ndo wamekubaliana mzee wetu akazikwe unguja??
  5. Wazo la kabwela

    Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

    Tanzania tuko bize na kampeni za nyumba ni choo.... Na uhaba wa umeme
  6. Wazo la kabwela

    Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Uzoefu mzee .. . Kama huamini tafuta lishangazi la miaka kama 40-50 lito....mb. e uone lilivyo tamu kuliko hivi vibinti vya juzi juz hapa
  7. Wazo la kabwela

    Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Akiwajibu kuhusu kero ya umeme, kupanda kwa bei ya mafuta na sukari.. njooni niwainamie
  8. Wazo la kabwela

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Oraaa..... Mwenye picha anirudishe LYAMUNGO na OLD MOSHI chaaaap
  9. Wazo la kabwela

    Mfumo wa PEPMIS, Utumishi mmekurupuka kuuleta

    Vishikwambi vipi tena??? Vishkwambi vililetwa kwa ajili ya sensa na kazi ilivyoisha vingi vilikufa kibudu... Nenda katika shule moja yoyote katika walimu 10 wenye vidhikwambi ni vishkwambi viwili au kimoja ndio vizima
  10. Wazo la kabwela

    Katibu Mkuu wa CCM huyu hapa

    DR. EMMANUEL JOHN ALPHONCE NCHIMBI....
  11. Wazo la kabwela

    Mbege ifanywe pombe ya Taifa tu hakuna namna

    Njoo kiboriloni hapa sheih ule kitimotoo
  12. Wazo la kabwela

    Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

    Naweza kuiita CBG ni mchezaji kiraka kwenye mpira ka mahali yupo
Back
Top Bottom