Recent content by Warld

  1. Warld

    Get well soon Analyse

    Afya yake izidi kuimarika na apate kupona haraka.
  2. Warld

    Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    Kilosa kuna kijiji kinaitwa miyombo gunia linanunuliwa 350,000 mpaka 370,000
  3. Warld

    Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    Songwe kwa mwaka huu ndo kuna bei nzuri kilo inauzwa kwa Tshs 4700
  4. Warld

    Kwa vyakula vya aina hii, WALEVI ni wa kuhurumiwa!!

    Ila supu ya kongolo siachi kamwe.
  5. Warld

    Miaka 400 ya utumwa wa mtu mweusi. Kama kuna "divine justice" ya mnyonge kwa nini ishuhudie tabu hio ya muda mrefu sana.

    Jambo kubwa kabla ya yote ni kupata historia kabla ya utumwa kutufikia maisha mababu zetu yalikuwaje maana hakuna historia kamili ya muafrika.
  6. Warld

    Msaada wa kisaikolojia: Sijiskii kuwa kwenye mahusiano kabisa

    . Nazungumzia wimbo wa dizasta uitwao mlemavu.
  7. Warld

    Naomba msaada tafadhali

    Piga magoti na kusali mungu akujaze maarifa kabla ya habari.
  8. Warld

    mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Inasadikika upendo wa kweli ni kujari,. Kabla pingu za ndoa hazijakufunga jiulize mkeo angekuwa na wewe kama ungelikuwa chini.. Poor Brain
  9. Warld

    Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

    Uhuru ni falsafa iliyoandikwa na mababu tutaisoma na tutaiacha huko.. Dizasta - a confession of a mad
  10. Warld

    Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

    . Huyu jamaa amemwaga damu tayari ili awe huru kuwa mtumwa kwa mabepari.
  11. Warld

    Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

    . Uhuru is priceless kwakuwa si bidhaa halisi.
Back
Top Bottom