Recent content by Walker Water

  1. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Muda utawaacha,achaneni na kupambania hoja za ajabu.
  2. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Asante,jipange vizuri zaidi maana majira haya dhahabu ndiyo inapitishwa kwenye moto ili iitwe dhahabu.
  3. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Jifunze kutembelea nyota ya majira na nyakati ili kiu yako ya uongozi iwe rahisi na fupi.
  4. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Inategemea unanipima kutoka pembe ipi,na pia unasahau kupima uwezo wako wa macho (unaweza kudhani unaona sawa sawa kumbe bado).
  5. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Usione nilikaa kimya,kuna masharti ulikosea ukaharibu mambo yote.
  6. Walker Water

    Je, Mwenyezi Mungu anaweza kutenda hivi?

    Jibu ni moja "Jifunze kuongea na Mungu" ukifanikiwa hilo we muulize maswali yako yote atakujibu.
  7. Walker Water

    Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Haujasoma vizuri,rejea swali namba sita.
  8. Walker Water

    Je, haya ndiyo yanaweza kuwa maswali magumu na majibu mepesi?

    Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi. 1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho. 2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu. 3. Amenileta kufanya nini hapa duniani?; Kufanya kazi yake ya kipekee ambayo hakuna mwingine...
  9. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Bado anakupenda na anakuhitaji pia ni wewe tu ndiyo ulimtelekeza. Alafu embu tafuta uzi wangu wa "wa dalili za mtu anayekaribia kufa" soma alafu nitakuja kukushauri kitu cha maana.
  10. Walker Water

    Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Pole sana ndugu,unashida gani kubwa inayokusumbua?
  11. Walker Water

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ok, Mungu anisaidie. Kama alivyo saidia Mr 7seven hapo chini kwa usahihi kwa msaada wa Mungu, naomba niongezee kidogo. Kuwa shule maana yake ni kuwa kwenye maandalizi ya kuingia hatua nyingine ya juu zaidi. Kukaribishwa kwenye darasa la somo la kiswahili, maana yake Mungu anakutaarifu kuwa...
Back
Top Bottom