Recent content by TumainiEl

  1. T

    Nimeupenda msimamo wa Slovakia juu ya mzozo wa Ukraini

    Putin haitokuwepo ila Urusi watapita kipindi kigumu sana kiasi Dunia itawalilia 🤔
  2. T

    Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

    Nikweli ila Walio funga midomo wanakula batawewe unakula vumbi
  3. T

    Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Yeye anataka sasa mtoto akililia wembe mpe maana washauri washamshauri msoga ndio alichokitaka. Mradi amani ipo nafunga domo
  4. T

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Makosa ya ki intelligence yamesha rekebiswa
  5. T

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu. Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio...
  6. T

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Nisiri ila kanamaliza Taifa silence 🤐
  7. T

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Hayo ndio majibu ya Mam Uturuki Uturuki ndio majibu
  8. T

    Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaza Taifa

    Ilikuwa 2020 huyu mdudu anapukutisha majabali🫣 kijana kuwa makini nadhani mnanielewa
  9. T

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Udhalikishaji mwingine ambao Iran hawezi kutuambia nivile jamaa walizima mifumo yao ya kiulinzi kiasi Waka anza tumia manual way kumdungua adui. Israel ni ma genius
  10. T

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
Back
Top Bottom