Search results

  1. T

    Israel kuishangaza Dunia tena

    https://m.youtube.com/watch?v=Td_6y0LUDZw
  2. T

    Majasusi wa dunia wametuma Meseji ngumu kwa Putin na washirika wake

    Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi wakile kimetokea. Wengi hawajuwi kile kiponyuma ya hili tukio ila Kuna vitu vya muhimu vimepotea kuliko...
  3. T

    Breaking News: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Iran kwenye hili nadhani watarudisha majeshi nyuma maana sasa wanaona mwisho wa Taifa lao
  4. T

    Breaking News: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Kauli yakutisha sana kutoka kwa Waziri Netanyahu. "Watu walio husikakupanga na kufanikisha na mauwaji ya Waisrael mwaka jana ni maiti zinazo tembea" hii kauli hii itaacha vilio vingi sana pasipo majibu
  5. T

    Israel kuishangaza Dunia tena

    Niliwaambia Israel watafanya tukio lakuishangaza Dunia pasipo kuwepo proof yauwepo wao kupotea kwa helicopter na viongozi wazito wa Iran nimoja ya tukio litawatesa sana magwiji wa ujasusi maana halitopata majibu na uwenda kidoni wakaondoka na vichwa visionekane milele🤐
  6. T

    Breaking News: Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi, yapata ajali na kuteketea

    Azarbaijan ni rafiki mkubwa wa Israel na Iran anataka kujipendekeza na kujifanya mtu mzuri na hayo ndio majibu ambayo hayana majibu. Mauwaji ya Waisrael+++1000 nikiama kwa kila alie shiriki Israel they mean what they mean but no proof
  7. T

    Nimeupenda msimamo wa Slovakia juu ya mzozo wa Ukraini

    Putin haitokuwepo ila Urusi watapita kipindi kigumu sana kiasi Dunia itawalilia 🤔
  8. T

    Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

    Nikweli ila Walio funga midomo wanakula batawewe unakula vumbi
  9. T

    Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Yeye anataka sasa mtoto akililia wembe mpe maana washauri washamshauri msoga ndio alichokitaka. Mradi amani ipo nafunga domo
  10. T

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Makosa ya ki intelligence yamesha rekebiswa
  11. T

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali Huwa mengi ila pia Huwa na majibu. Sio jambo lakawaida mtu alie undercover kuwa exposed sio...
  12. T

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Nisiri ila kanamaliza Taifa silence 🤐
  13. T

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Hayo ndio majibu ya Mam Uturuki Uturuki ndio majibu
  14. T

    Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaza Taifa

    Ilikuwa 2020 huyu mdudu anapukutisha majabali🫣 kijana kuwa makini nadhani mnanielewa
  15. T

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Udhalikishaji mwingine ambao Iran hawezi kutuambia nivile jamaa walizima mifumo yao ya kiulinzi kiasi Waka anza tumia manual way kumdungua adui. Israel ni ma genius
Back
Top Bottom