Recent content by Top gun maverick

  1. Top gun maverick

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    What pains a man trains a man. Ila nakuhakikishia humu hutopata chochote hata buku iliochakaa,kikubwa wewe ndo unatakiwa kujisaidia japo humu wapo maboss,wakuu mbalimbali. No one is coming to save you it's only you.
  2. Top gun maverick

    Ninunue gari ipi kati ya Toyota vanguard na suzuki escudo 2008?

    Babu kwa muonekano na heshima chukua vanguard mzee.Ni chuma moja matata sana.
  3. Top gun maverick

    Mnaotumia X, mnapataje access?

    Tupo wengi ila jaribu ttcl
  4. Top gun maverick

    Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Good job. The devil tempts but doesn't force
  5. Top gun maverick

    Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Hard decisions matters. Kwa kifupi piga chini. Nadhani nimesomeka and no more.
  6. Top gun maverick

    Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Always stay away from problems..haya bhn jiandae kulipia.
  7. Top gun maverick

    Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    DND ya rema Never give up ya harmonize it's a true story about my life. Na wizkid oujuelegba utafikiri aliniimba. Anyway tuishie hapo.
  8. Top gun maverick

    Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

    Hapo safi nenda hapo kuna wataalamu specialist wazuri sana wako safi. Pia usisahau kusali.
  9. Top gun maverick

    Je, mimi nina tatizo gani, au figo zishakufa?

    Mkuu kwanza kabisa usigoogle utazidi pata presha,nishawahi kuwa na shida kama yako nilienda hospital ya BMH(Benjamin Mkapa hospital) Dodoma nikafanya vipimo vya Figo inaitwa BUN ni chap tu wanapima mkojo nashukuru nilikuwa fresh. Pia kumbe nilikuwa na shida ya typhoid ya muda mrefu sana. Hivyo...
  10. Top gun maverick

    Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

    Kwa toyota hapa waliumiza kichwa sana. 1.Toyota fortuner 2.vanguard 3.toyota land cruiser Lc 300 4.crown new model 2008+ 5.toyota premio 6.crown Royal saloon.
  11. Top gun maverick

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Acha ushenzi kuropoka hovyo sasa kama umelipwa inasaidia nini. Stay low key.
  12. Top gun maverick

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Mwanaume mwenye pesa ni sawa sawa na demu mkuwa mzuri.
  13. Top gun maverick

    Taja mashine/chombo ambacho unaweza kuwa unakikodisha na kikakupatia hela

    Gari kali kama toyota vanguard. Kukodi harusi tu laki sita perday huku kwetu buhigwe.
Back
Top Bottom