๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐ต๐๐ ๐๐ฎ๐ธ๐๐!
Natumai asilimia kubwa mtakuwa mmeshuhudia wimbi kubwa la watu wanaolalamika kufungiwa namba zao za Whatsapp kutokana na kutotumia Official Whatsapp App
Watumiaji wengi wa Whatsapp mbalimbali zisizo rasmi kama vile GBWhatsapp , YoWhatsapp, FMWhatsap n. k wamekuwa...
Ninasoma hiyo degree ya Environmental health kwa sasa , kitu ninachofahamu kwa uelewa wangu kiasi ni kwamba kwa Tz kuna certificate,diploma na degree ya environmental health ila upande wa Masters ndiyo kuna Master of Public Health
Na kwa uelewa wangu inawezekana kusoma certificate ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.