Hiyo ajenda nilishakwambia inahitaji kuunganisha nguvu za Mzee wa upako, Buldoza Mposa Boy, Gwaji na maombi yenu wote.
Kwa Leo mtuache kidogo tujadili upendo wa huyu 🐶
Lakini wote dogs. Hii story Haina Cha codes Wala Nini, ni mbwa kabisa huyu mnyama watu wanafunga na wengine mnatufananisha nao ndio ame show love to this extent imagine.
Upendo wa dhati uliopelekea umauti hadi akafia kwenye kaburi la boss wake. So touching story
Haya mambo magumu sana, ukishakua mtoto wa kiume hata uwe na umri wa miaka minne, ukiona mambo yoyote ya kimahusiano kumhusu ndugu Yako wa kike hata awe anakaribia kustaafu, hua tunachefukwa balaa.
Shida ni Ile kujua, kama usingeona hizo picha heshima kwa dada ingebaki pale pale. Unatumia...
Nilitaka kushangaa...aangalia usije ukabadili matokeo ubaon ukasoma 1-2 tafadhali. Nakusihi sana.
Hayo matokeo Yana ambatana na wengine kwenda getrezani.
Maghayo ni upcoming Billionaire, nna project nae tatizo mnamchukulia juu juu.
Turudi kwenye hoja, watu wa namna hii anawaongelea mleta mada wapo Karne hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.