Recent content by The Industry

  1. The Industry

    Nahitaji kiwanja kwa Mil 5 Dar es Salaam

    Weka namba ya simu kaka, viwanja vipo bunju kwa bei hiyo.
  2. The Industry

    Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

    Kiwanja bado kina subiri mteja serious. Wekezeni kwenye ardhi wazee, magari ya depreciate kila siku sio investment.
  3. The Industry

    Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

    Kiwanja Bado kipo, kama upo serious nipigie tuongee, negotiations zipo, usiogope.
  4. The Industry

    Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

    Kiwanja Bado Kipo ndugu zangu Madalali nasubiri simu zenu Au 10% hamjaiona kama ipo
  5. The Industry

    Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

    Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa Kina Hati. Ukubwa ni SQM 1900 Kipo Kigamboni- Dege. Bei ni 45M Negotiations zipo Contact; 0684 84 88 01 KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO. NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
  6. The Industry

    Mchumba wangu ana karama ya unabii, ananitisha!

    Aisee huyo ni GUARDIAN ANGEL, hutakiwi kumuogopa kabisa maana once mkianza kuishi pamoja kama familia, utawajua mpaka marafiki wanafiki ambao kwasasa wewe unahisi ni watu wako wa karibu sana kumbe sio. Nasema hivi kwasababu mimi wife wangu ni wa aina hii, baada ya kuanza kuishi nae rasmi...
  7. The Industry

    TV4Sale Hisense 4K Smart TV 50' inauzwa

    Inawaka mkuu, imegongwa tu bahati mbaya kwenye kioo.
  8. The Industry

    TV4Sale Hisense 4K Smart TV 50' inauzwa

    TV bado ipo Bei elekezi 120k Ipo Dar maeneo ya Tegeta.
  9. The Industry

    TV4Sale Hisense 4K Smart TV 50' inauzwa

    Hii TV imevunjika screen kwa bahati mbaya, sasa kwa yeyote ambaye anaweza kuichukua akabadilishe kioo karibuni nasikiliza offer zenu. Call: 0684 848 801 Karibuni wadau TV ipo Dar es Salaam, Tegeta. Bei elekezi ni 120k tu.
  10. The Industry

    Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

    Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu Hii inawafaa wale wasio na mtaji wa kununua balo zima. Elfu 50 inatosha sana kwa kijana kuanza kupambana mtaani...
  11. The Industry

    Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

    Karibuni sana nguo ni nzuri. Usiogope kuhusu bei ni kwamba huwa nafungua mabalo mwenyewe na kuziuzia kwenye fremu sasa kuna baadhi inabidi zitoke ili mzigo mwingine upate nafasi. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  12. The Industry

    Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

    Nguo ndio hizo hapo zipo ndani ya fremu Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  13. The Industry

    Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

    Kama upo karibu au unaweza kufika eneo husika unakaribishwa nguo za mtumba hazikaguliwi kwa picha kama upo serious na biashara. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  14. The Industry

    Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

    Hizi ni nguo za mnadani za watoto kuna kiroba cha nguo 100 kwa elfu 50 Zinapatikana Bunju A Dar es Salaam Ukitaka kuja kuziona nitafute kwa namba 0684848801 NI NGUO ZA WATOTO TU ZA MTUMBA MCHANGANYIKO ZA KUIME NA KIKE KWANZIA 0-12 MIAKA.
  15. The Industry

    NEW 3rd Gen 2i2 Scarlett SOUND CARD BEI YA OFFER

    Kwa wale ndugu zangu walio kwenye industry ya Music Sound Card mpya hiyo inauzwa kwa bei ya offer wahi mapema zimebaki mbili tu. Call 0684 848801 Bei ni Tshs Laki 6 TU. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom