Recent content by TANMO

  1. TANMO

    Anahitajika paka mdogo ofa 35,000 nipo Dar es Salaam

    Mkuu nitumie Pm location ya Mta wenu pamoja na mawasiliano nije kuchukuamo Vipaka pia...
  2. TANMO

    Ninunue Router ya 270,000 ambayo kila mwezi takua nalipa 70,000 ama Router ya 110,000 ambayo takua nalipa 110,000 kila mwezi?

    Najaribu kuwaza fursa. Kwamba naweza nunua hizi Router Kisha nikajiunga na Bando Unlimited la 110k kwa Mwezi ambapo nitaweza kuunganisha Device 30 kwa mara moja.. Kisha nikaenda eneo Kuna wadau wengi nawaunganisha kwa Tsh. 500/device kwa siku. Ama Kuna restrictions wadau?
  3. TANMO

    Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Una uhakika hawana hatia? Mimi Kuna siku sina hili Wala lile, nakatiza zangu chini ya Mnazi, likunguru likaniparamia na kunikwaruza kichwani na makucha yake, ukizingatia nilikuwa nimenyoa Dongo.. Nilimmaind sana yule Fala. Halafu unasema hana hatia?
  4. TANMO

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Mabasi yanaachana kwa Interval hadi ya Dakika 20 wakati mwingine.. Ni ngumu kuambia watu wapange foleni wakati mtoa huduma hana consistency na hazingatii muda. Imebaki Abiria kugombania na kugombana tu.
  5. TANMO

    Sio sawa polisi kufanya doria bila kuwa na gari rasmi ya polisi

    Food for thought. Polisi Tanzania wajitafakari.
  6. TANMO

    Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Nenda Ulaya na Marekani sasa. Kule ukisema unatokea Tanzania wanakuuliza Iko wapi hii? Ukiwapa ufafanuzi kuwa ni Nchi inayomiliki Mlima Kilimanjaro, wanakwambia mbona huu Mlima sisi tunajua uko Kenya? "Haibu" sana..
  7. TANMO

    Musa Hussein yuko wapi?

    Do you want a beer? Yeeees Do you want a beer? Yes We want a beer Coz beer Makes me talk with everybody Beer I love you, don't tell somebody Beer I love you, don't tell somebody Beer I love you, don't tell somebody Beer I love you, don't tell somebooooody... Do you want a beer? Yes Jah ha zi, Tu...
  8. TANMO

    Ali Kamwe: Tunaomba uongozi wa Simba umsajili kocha wa mamelodi

    Si waombe mechi ya Kirafiki (kiuadui?) na Mamelod ili wamalizane nao?
Back
Top Bottom