Wana JF naomba kufamishwa:
1) Mwaka jana 2018 chuo cha lugalo kilifungiwa na nacte. Naomba kufahamushwa kama kimeruhusiwa kufanya udahili tena.
2) Nilijaribu kumtuma mtu akanichukulie form ya kujiunga akaambiwa aingie website ya NACTE lakini hatuja fanikiwa. Naomba kufahamishwa jinsi ya...
Kweli siasa mchezo mchafu. Watu wakihamia CHADEMA eti wamefuata mabadiriko ila Watu wakiahamia CCM wamehongwa. Haya..... wanasiasa wa tz endeleni kutuchanganya tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.