Mwanamke Asili yake kulinga abembelezwe adeke Afurahi na Kuna Muda audhike Awe ajue akiwa na Shida Kuna Sehem Atapata Wa kumtuliza Akili yake hata awe na Pesa vip Mwanamke ndio uhalisia Wake hata awe Mkuu Kwenye vitengo nyeti Kwenye Dunia Hii Lazima Iwepo Wa Mwanaume Mtulivu Mwenye Akili uwepo...
Walio anzisha ndo wakulaumiwa Acha wajute Iwe fundisho Kwa Vizazi vyao Vyote Na hii ndo Adhabu hawata rudia ujinga Ule wakikumbuka Wataacha watafute Njia Nyingine Sio kuvamia Jamii za Watu na Kuua Alfu utake Lawama Kwa Watu
Alafu Nyie Waarabu Wa Buza kwa mpalange Muwe na Akili basi Wewe Una kuwa na kiburi na Wakubwa Alafu Unatumia Vyombo vyao vya Moto Si unatafuta kuungua tuu
Waache Kutumia Vitu vya Wazungu ,kiduku Kasema Nchi yake hataki Mtu yoyote avae jinsi zinatoka Ulaya Raia Wote wavae Mabwanga Vazi la Asili Kuna Nchi Ngumu Duniani hapa
Chopa Yenyewe ya Mmarekani Alfu Unaleta Jeuri Alfu Spare part Kasema Hakupi Unategemea Nini Sasa( Kuna vitu vya Kutumia Nguvu) na (Vitu vy Kutumia Akili )
Alafu Nchi Ndogo kama Iran Kweli Unawavimbia Wakubwa Alfu Unatumia Ndege Zao technologia Yao Kweli Kila Kitu Chao wanajua Mienendo Yako Yote Unayofanya Kila Siku Mpaka Unalala Kukutoa Roho ni Dakika tuu Alafu Hawa Wazungu wakitaka Jambo lao Hawana Haraka Mpka Msahau ndo wanafanya Tumsubili Rais...
Pale mashariki ya kati panatakiwa Rais kama Yeye Sio Hawa Wengine Wanataka Kucheka Cheka haswa Viongozi Wa Africa Vilaza Kwa hiyo basi Alivyo Fanya Kwa Rais Wa Iran Iwe fundisho Kwa Wengine Wote Tena apige mkwala hadharani kweupe na Hamas Watoke Wenyewe Kwenye Mashimo Humo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.