Recent content by Somoche

  1. Somoche

    Kitu gani maarufuku kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Ujanja Ujanja Wa kizamani Kila mtu tapeli tapeli
  2. Somoche

    Lissu aombe radhi, asijitoe akili

    Chadema kwa style hiyo hamna adabu kila mtu ni kambale yaani nyie kuomgoza nchi sahau
  3. Somoche

    Barabara ya Morogoro Mlandizi Chalinze foleni ni kubwa Jiongezeni watumiaji

    Usiku Huu njia hiyo haitembei kabisa Mamlaka ziangalie shida ni nn watu wako hapo masaa 6 sasa
  4. Somoche

    Barabara ya Morogoro Mlandizi Chalinze foleni ni kubwa Jiongezeni watumiaji

    Waziri Wa Ujenzi hivi unajisikiaje njia mhimu kama hii Km hizo tu umeshindwa kusaidia llolote naamini Magu angeshafikisha hii barabara Morogoro na zaidi njia 4 kila upande..Magufuli unisamee baba kwa kukuwazia ndivyo sivyo...Wewe ni Mwambaaa
  5. Somoche

    Nauza dume la kisasa la Ng'ombe

    Hamjui kutangaza Biashara..Elezea Vizuri Huyu Dume ni Ayshire au Jersey Mama yake anatoa lita ngapi? Kwanini unamuuza? Ana umri gani? Ana ugonjwa au hali yake ya afya ikoje? Yuko Sehemu gani na Mwisho utaje chanjo alizopata Ndigana Kali ECF nakadhakika
  6. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama watu wengine wanavyoshangaa hapa Tanzania tunaibiwa na genge flani linajulikana linaiba hadharani kabisa linatuumiza tunakosa barabara wala maji na huduma mbovu lakini ndio hivyo tu.
  7. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huu Mkwara ningekua mimi ni Comedy ningeshamuamkia Mzee Putini Shikamoo Mzee wangu. Mana Kharkov ikichukuliwa wanasogea kwenda Kyiv watamtoa lazima. Nchi nzima ile itakaliwa sasa sijui atafanyaje..Mjinga huyu hivi hajaona Hao hao mashetani walimsaidia Sadam Vs Iran baadae wakamuua...Walisaidia...
  8. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa sidhani atapona nina wasiwasi sana
  9. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa sidhani atapona nina wasiwasi sana
  10. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haka watakaua soon hawa ni mashetani...hawana urafiki wa kudumu...
  11. Somoche

    Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    Bandarin pekee ingetupa asilimia 70 ya mapato lakini nchi hamnazo
  12. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nafasi ya Shoigu wangempa Kijana Sirovokin
  13. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shoigu muda mrefu alionyesha anababaisha sema Putin kweli Mafia amevuta muda kamtoa
  14. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shoigu apumzike ile kazi wangempa kamanda Armageddon.
Back
Top Bottom