Search results

  1. Somoche

    Lissu aombe radhi, asijitoe akili

    Chadema kwa style hiyo hamna adabu kila mtu ni kambale yaani nyie kuomgoza nchi sahau
  2. Somoche

    Barabara ya Morogoro Mlandizi Chalinze foleni ni kubwa Jiongezeni watumiaji

    Usiku Huu njia hiyo haitembei kabisa Mamlaka ziangalie shida ni nn watu wako hapo masaa 6 sasa
  3. Somoche

    Barabara ya Morogoro Mlandizi Chalinze foleni ni kubwa Jiongezeni watumiaji

    Waziri Wa Ujenzi hivi unajisikiaje njia mhimu kama hii Km hizo tu umeshindwa kusaidia llolote naamini Magu angeshafikisha hii barabara Morogoro na zaidi njia 4 kila upande..Magufuli unisamee baba kwa kukuwazia ndivyo sivyo...Wewe ni Mwambaaa
  4. Somoche

    Nauza dume la kisasa la Ng'ombe

    Hamjui kutangaza Biashara..Elezea Vizuri Huyu Dume ni Ayshire au Jersey Mama yake anatoa lita ngapi? Kwanini unamuuza? Ana umri gani? Ana ugonjwa au hali yake ya afya ikoje? Yuko Sehemu gani na Mwisho utaje chanjo alizopata Ndigana Kali ECF nakadhakika
  5. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama watu wengine wanavyoshangaa hapa Tanzania tunaibiwa na genge flani linajulikana linaiba hadharani kabisa linatuumiza tunakosa barabara wala maji na huduma mbovu lakini ndio hivyo tu.
  6. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huu Mkwara ningekua mimi ni Comedy ningeshamuamkia Mzee Putini Shikamoo Mzee wangu. Mana Kharkov ikichukuliwa wanasogea kwenda Kyiv watamtoa lazima. Nchi nzima ile itakaliwa sasa sijui atafanyaje..Mjinga huyu hivi hajaona Hao hao mashetani walimsaidia Sadam Vs Iran baadae wakamuua...Walisaidia...
  7. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa sidhani atapona nina wasiwasi sana
  8. Somoche

  9. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haka watakaua soon hawa ni mashetani...hawana urafiki wa kudumu...
  10. Somoche

    Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    Bandarin pekee ingetupa asilimia 70 ya mapato lakini nchi hamnazo
  11. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nafasi ya Shoigu wangempa Kijana Sirovokin
  12. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shoigu muda mrefu alionyesha anababaisha sema Putin kweli Mafia amevuta muda kamtoa
  13. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shoigu apumzike ile kazi wangempa kamanda Armageddon.
  14. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Formula ya Vita ni rahisi tu..Ukipigwa unaachia Eneo mwenzio anakalia sasa Nyie Ukraine mnasema mmewapiga Warusi lakini mnakimbia maeneo😀😀😀 Yaani mnafanya ucomedy mpaka kwenye battle field.
  15. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Dah Ukiangalia unamuona Ruto na Kagame na Tz ndio sisi tupo sisi
  16. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jainshakar ni kichwa sio nyie mnaaweka Mtu Waziri hajui kitu anasema Trap na trat.
  17. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi Wananchi wa hiyo Miji wenyewe wanasemaje?
  18. Somoche

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Halafu Comedian ataenda wapi mana anajiharishia sana silaha zote zimeletwa za Bil 61 dollar zimechomwa moto.
Back
Top Bottom