Recent content by Shotocan

  1. S

    Mbeya: Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania David Concar, akutana na Joseph Mbilinyi

    Waliongea Kwa kutumia lugha ghani maana Sugu kingereza hajui au kulikuwa na mkalimani
  2. S

    Israel yakana kuagusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran. Yasema kama ingetaka kulipiza kisasi isingelipa kwa kiwango kidogo kama hicho

    Raisi wa Iran huyo aliyeuawa mwenye msimamo mkali ndie alikuwa kikwazo aliwaambia Hamas kuwa msikubali kukabidhi mateka mkikabidhi Iran haitawapa pesa na Silaha Sasa baadhi ya Viongozi wa Hamas wapenda vita iishe na kukabidhi mateka wote waliingia secret contract na Israel kuua huyo raisi wa...
  3. S

    Israel yakana kuagusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran. Yasema kama ingetaka kulipiza kisasi isingelipa kwa kiwango kidogo kama hicho

    Sijataja dini ya Mtu wewe ndio umesema kuwa Kuna Wavaa kobazi kuwa Wana dini Hao Wavaa kobazi sijui kama wanavaa kidini au la
  4. S

    Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Nyerere angekuwa ndio yupo Hilo Baraza tungendelea kuwa kwenye ujamaa angepinga Kila kitu mleta mada akili huna Kila zama na kitabu chake
  5. S

  6. S

    Israel yakana kuagusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran. Yasema kama ingetaka kulipiza kisasi isingelipa kwa kiwango kidogo kama hicho

    Wavaa kobazi utasikia tunataka haki sawa umoja wa mataifa Wakati michango Yao kuendesha umoja wa mataifa ziko sifuri.Marekani ndie anabeba mzigo wa gharama za kuendesha umoja wa mataifa Ni kama hapa kwetu wazanzibari kelele kibao ohh tuwe sawa vyeo nusu Kwa nusu mikopo ya nje nusu Kwa nusu...
  7. S

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Itakuwa Nyege zilimzidi akawa anatongoza masista warembo akasahau kusoma Kanisa liwe linapeleka usista masista wenye sura mbaya kama Kobe aliyefiwa na mkwewe kuwa masista
  8. S

    Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Shida ya vyama baadhi Africa iko.hapo ndio maana kushika Dola Vigumu wanaficha solutions za matatizo ya nchi wanaongea kama wehu tu kusema Kuna shida hii na hii ila solution hawatoi. Sasa wananchi watawalewa vipi sababi hizo shida hata wao wanazijua ila solution hawajui Sasa upinzani ukiongea...
  9. S

    Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Sema baadhi ya wananchi wanapitia changamoto sio wote Mbowe na Lisu ni Wananchi Wana shida Gani za maisha wale .Ruzuku ya Chadema wanakula wao
  10. S

    Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Vyote Hivyo Huwa Wanaongea tu kama wehu hawaelezi wao kama wao wakipewa nchi watafanya nini ili mfano mfumuko wa bei usiwepo kitaalamu Huongea kama wehu tu majukwaani
  11. S

    Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

    Huyo Raisi wa Iran aliyekufa ndie aliamuru Jeshi la Iran lishambulie Israel Kwa makombora Amekuwa maiti inayotembea kwenye Helicopter na Bado wengine Muisrael akipigwa Huwa anaehuka anakuwa mwehu kivita atawabamiza hasa tusubiri wengine ngazi za juu Iran kuuawa na Israel
  12. S

    Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

    Iran na Russia Wana Nini,zaidi ya masaa 16 hawakujua helicopter imeanguka wapi Hadi uturuki walipowapa drone zao ndio wakajua ndani tu ya dakika
Back
Top Bottom