Recent content by sambulugu

  1. S

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    :D :D :D :D :D :D Huyu jamaa kusema kweli haeleweki mara mtu wa maana kabisa mara.................... Ila yote kwa yote jamaa ni jembe!
  2. S

    CCMCC: Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi aongoza kikao Cha Kamati kuu maalaum ya CCM kwa mafanikio makubwa.

    Utulivu ndo nini? Ana msaada gani kwa wananchi? Wabongo bhana mna ujinga ujinga mwingi sana! Wananchi wanahitaji kiongozi achape kazi na kutoa maelekezo juu ya shida zao! Utulivu apeleke kwa Mke waje huko!!
  3. S

    Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Huyo kazi yake kuimba ujinga ujinga tu! Hata NHC Morocco iko wazi hakuna wapangaji hata nusu na mradi haujaanza! Hii miradi ya NHC chini ya Mchechu ilikuwa ni upigaji tu! Dege Eco Village kule Kigamboni nayenyewe hola hakuna kitu! Ufisadi ufisadi!
  4. S

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    U Utawala bora ndo kichaka cha wezi kujificha! Kwanza hapo hakuna alichokosea kwa maana Mkurugenzi aliyataka mwenyewe kuyapeleka kwenye Media! Utawala bora wa Kiafrica alofunikwa na majizi yanayotumia mwanya wa sheria mbovu kuendelea kula mali za Wananchi hauna maana yoyote!
  5. S

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Mambo hayako kama unavyodhania! Kikubwa tuvumiliane tu! Huyo Nesi anatumika kisiasa ufukuzwe kazi 2020 miaka minne ndo uje na visingizio vya kisiasa! Shame on her!
  6. S

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Huyo muuguzi awe mkweli tu! Sababu haiwezi kuwa hiyo hata kidogo! Kuna iwezekano ana shida zake za kikazi na kisheria ila eti sababu iwe kumhudumia Tundu Lisu haileti mantiki hata kidogo! Madaktari na Manesi wote waliohusika kumhudumia Lisu nao walifukuzwa kazi? Jibu ni hakuna bora atafute...
  7. S

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Kwa hiyo Mtaka naye anahusika kumwondoa kazini huyu Dada kwa sababu alisaidia huduma ya kwanza ya Lisu? Huyo Dada mwacheni apambane na hali yake!
  8. S

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Huyo hajafukuzwa kwa sababu alimhudumia Tundu Lisu! Mtu ana nia ya kumfukuza akae miaka yote hiyo? Huyo awe mkweli tu sababu haiwezi kuwa hiyo! Ndo maana anamtaja Dr Mabula na Nesi mwenzake hapo ndo walimhudumia kwa pamoja! Mbona wenzake hawajafukuzwa? Uongo uongo tu bila sababu!
  9. S

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Kwa hiyo huyo Mkurugenzi amedhalilishwa? Unajua huyu Mkurugenzi ndo anashutuma na kumbomolea Saloon yake kijana mmoja hapo stendi ya Arusha!
  10. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Busisis iko kijijini ila ni nje kidogo tu ya mji na nikiungo kikubwa cha Jiji la Mwanza na mikoa jirani ikiwa ni pamoja na nchi za Rwanda,Burundi ,DRC na Uganda! Ulitaka daraja liwe mjini ili iweje liko pale kulingana na nature ya ziwa! Wewe kijana akili zako bado ndogo sana!
  11. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wewe unapenda kulaumu tu kila kitu! hivi unadhani kama hiyo hela ingetengwa kujenga barabara za Mwanza wewe ungejnga mkono? Acheni unafiki na ujinga Mwanza kama ilivyo Dar na Daraja la Tanzanite na Kigamboni licha ya ubovu wa barabara kibao hapa mjini Dar ila serkali bado iliamua kujenga...
  12. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Bado mnepiga kelele mbona wanapendelea Mwanza ni heri tu wamejenga na uamzi huo ni sahihi kabisa! Kwa viongozi vilaza kama hawa wa sasa hata miaka 50 ijayo wasingeweza kujenga daraja hilo! Hongera JPM na Samia!
  13. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Hakuna sehemu wanapeleka hata hapa Dar kero tu! Uchafu kila kona miundombinu mibovu nk! CCM ilishachoka hawawezi kufanya lolote la maana!
  14. S

    Lengo la Makonda kuvaa koti linalofanana na Jeshi ni lipi hasa?

    Huyo ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama sio mwenzako!
Back
Top Bottom