Acha masimngo na ulimbukeni usiokuwa na maana kijana,kila sehemu inautamaduni wake wa vyakula,kama ambavyo hauwezi kupata furu wa kubanika Washington ndio hivyo hivyo ulikosa brown bread Mwanza,uku kwetu asubui tunagonga chai ya maziwa na mahidi ya kuchemsha kwa raha zetu,hayo si jui ma brown...
Tofauti ya ku-bet na kutafuta mnawamke mitandaoni ni ndogo sana,kumbuka 1/Dec ili kuwa ni juzi tu na watafiti wamesema ya kwamba asilimia 70 ya maambukizi mapya ya UKIMWI ni vijana kati ya miaka 14 hadi 25 na hao ndio wamejaa humu mitandaoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.