Recent content by RUKUKU BOY

  1. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Mkuu shukran saaana, umenitia sana moyo, interview ilikuwa ipigwe Jana imehairishwa coz of internet problem mpaka wiki ijayo,,,yaani wiki ijayo internet hisporudi sijui itakuwaje
  2. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Let me promise here nkipata ntatoa ata ya soda kama ulivyosema mkuu
  3. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Mimi ya kwanza na ya pili ni technical management(yaani wataalamu) No nmechukia mtandao kuzingua na interview kuhairishwa,,,, je kunaweza kukawa na interview ya nne
  4. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Mimi ya kwanza na ya pili ni technical management(yaani wataalamu)
  5. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Duu unanitia moyo thanks mkuu, mie nadhani nkamaliza ya tatu Kuna ya nne, salary hatujabagain, afu interview ilikuwa nifanye Jana kwakua hakuna internet wakaalisha hadi next week nimechukia kwakweli
  6. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Aisee na hakuna mtihani wa kuandika interview inapigwa Zoom
  7. RUKUKU BOY

    Lengo la third interview kwenye international NGO

    Habari wakuu, Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika. Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka...
  8. RUKUKU BOY

    Niliomba kazi kimasihara naona ntaipata na siko motivated

    Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit. Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...
Back
Top Bottom