Kuna mmoja aliwahi kusemaga urafika kati ya mwanamke na mwanaume ni sawa na kutembea na muwa huku ukjifariji kuwa ni mkongoja utautafuna tu mbele ya safari
Usiogope anataka kujiridhisha tu kama kipato chako kinalingana na matumizi au la
Isije kuwa kuna jamaa anamsaidia maana umesema unajinunulia kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilivyoona Samata hayupo tu nilijua tumeumia si shabiki sana wa mpira lakini mechi na C verde samata alikuwa chachu kubwa sana ya ushindi goli la kwanza assist alitoa samata na goli la pili alishinda yeye
Hili hali imenitokea juzi usiku asubuhi nikaamka vizuri tu mi nikajua ni hali ya kawaida kumbe ni tatizo
Ila maumivu yake ni ya kawaida lakini si mchezo unatembea kama umetoka jando kwa wale tulioenda tukiwa tunajitambua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.