Unaelewa hata ukichoandika mkuu? Schengen area ni eneo la Europe ambapo nchi 27 unaweza kutembea visa free na Poland moja wapo. Russia au Romania hazipo kw Schengen sasa unaposema Poland imefukuzwa si kweli? Wanaweza kujitoa baada ya negotiations nyingi na kura km UK ilipotoka EU. Soma vizuri...
Me nilienda kuomba visa Poland ya tourism tu; nilinyimwa hata ckurudi kuhangaika tena. Kwa ambao wanawasema wenzao kw oh wajinga cjui kulilia visa; sikilizeni; wame apply scholarship na wamepata; km walikuwa hawataki kuwapa scholarship waafrika wangesema; pia kumbuka hawa watu wa Ulaya, Marekani...
Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za...
Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50.
Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi sehemu fulani; ila iendane na sifa. Kama umesoma udaktari na ukapata asilimia 60% wanawake poa, unesi...
Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na keyboard zake.
Ambaye anauza aweke hapa na bei zake pamoja na acc zake za Insta au namba zake za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.