Ukisema jeshi lifanye hivyo, kimamlaka halina uwezo huo kwani yupo Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya nchi na kama wakifanya hivyo wanakuwa wajishirikisha na siasa.
Isipokuwa, jeshi laweza kufanya hiyo "Evaluation" kuangalia masuala kama ya usalama na kwa kupitia wizara ya ulinzi jeshi laweza...
Kharkiv ndipo mashambulizi yote ya Ukraine kwenda Belgorod huanzia.
Pili, Kharkiv ndipo NATO /Marekani wamekuwa wakipanga kufanya mashambulizi kwa Russia na baadae waingie Russia kupitia Belgorod.
Russia tayari siku nyingi walikuwa wakilifahamu hilo hivyo ndo wameanza kushambulia ili baadae...
Peter wa Hungary bado kijana mdogo ndio ajifunza zaidi global affairs na alikuwa chini ya Victor Orban akijifunza kazi.
Ila haungi mkono vita ya Ukraine.
Mkuu usishangae ndo dunia ilivyo.
Nchi lazima iwe na waziri wa mambo ya nje mwenye ujuzi wa masuala mengi na nyeti ya kimataifa.
Na nyakati hizi ni lazima afahamu michezo ya geopolitics.
Huyo Wang Yi ni mtu muhimu sana kwa China ya leo.
Jamaa azungumza kiingereza kiufasaha na pia amejifunza hata kiswahili akiongea kidogo na baadhi ya lugha zingine za kiafrika.
Ukizungumzia wale top Diplomats na majasusi wale mazee wenyewe wa ngazi za juu humkosi bwana Wang Yi.
Ndo maana kutakuwa na vita kuu ya tatu ya Dunia.
Mstari mwekundu ulikwishachorwa kitambo kati ya Marekani/NATO na Russia.
Hivyo wakiingia kichwakichwa safari hii kutakuwa na world war 3
Breaking News: Russia yautwaa mji wa Ocheretyne.
Russia watarajiwa kulichukua mazima jimbo la Donetsk baada ya kuanguka kwa mji wa Ocheretyne.
Jana usiku majeshi ya Russia yameutwaa mji wa kistratejia wa Ocheretyne ambao upo kilomita zipatazo 25 kaskazini mashariki kutoka mji mwingine wa...
RIP mzee Mkulo.
Hata hivyo utakuwa umeishaangalia filamu za Godfather au Good Fella’s au Sopranos.
Nchi yetu ndivyo inavyoendeshwa kwa kutumia ule mfumo wa Kleptokrasia.
Marehemu Mkulo, Ramadhani Dau, Marehemu Ditto, Uiso, Janguo, Kitwana Kondo na mazee wengine hawa ndo wenye kuhakikisha lile...
Wazungu wa UK wamepiga kelele kuhusu utawala wa PK kuhusiana na haki za binadamu lakini ni double standard ndo yatawala Dunia kwa sasa.
Hata wanasheria wa haki za binadamu wamepigwa mkwara wamefyata.
Isitoshe pale Uingereza kila mwaka wa uchaguzi wahafidhina hutumia kete ya uhamiaji kutafuta...
Ni zile gharama za mahoteli na chakula. Wahindi wenye nyumba, mahoteli kama ile ya Ibis wamepiga sana hela. Ila gharama zimekuwa kubwa.
Ndo wamepiga deal na PK na Rwanda imevuta pesa ya kutosha.
Akili kichwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.