Search results

  1. Richard

    Nashauri JWTZ ijiongezee majukumu kwa ajili ya Resources za nchi

    Ukisema jeshi lifanye hivyo, kimamlaka halina uwezo huo kwani yupo Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya nchi na kama wakifanya hivyo wanakuwa wajishirikisha na siasa. Isipokuwa, jeshi laweza kufanya hiyo "Evaluation" kuangalia masuala kama ya usalama na kwa kupitia wizara ya ulinzi jeshi laweza...
  2. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yupo yeye ni mtalaam na kamanda wa jeshi la anga.
  3. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kharkiv ndipo mashambulizi yote ya Ukraine kwenda Belgorod huanzia. Pili, Kharkiv ndipo NATO /Marekani wamekuwa wakipanga kufanya mashambulizi kwa Russia na baadae waingie Russia kupitia Belgorod. Russia tayari siku nyingi walikuwa wakilifahamu hilo hivyo ndo wameanza kushambulia ili baadae...
  4. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Peter wa Hungary bado kijana mdogo ndio ajifunza zaidi global affairs na alikuwa chini ya Victor Orban akijifunza kazi. Ila haungi mkono vita ya Ukraine.
  5. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu usishangae ndo dunia ilivyo. Nchi lazima iwe na waziri wa mambo ya nje mwenye ujuzi wa masuala mengi na nyeti ya kimataifa. Na nyakati hizi ni lazima afahamu michezo ya geopolitics.
  6. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Bila shaka. Huyo Jaishankar pamoja na kihindi nae aongea kirusi, kichina, kitamil, kijapan na lugha ya Hungary ya Uralic. Hatari sana.
  7. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyo Wang Yi ni mtu muhimu sana kwa China ya leo. Jamaa azungumza kiingereza kiufasaha na pia amejifunza hata kiswahili akiongea kidogo na baadhi ya lugha zingine za kiafrika. Ukizungumzia wale top Diplomats na majasusi wale mazee wenyewe wa ngazi za juu humkosi bwana Wang Yi.
  8. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuanguka kwa Donetsk (kunotarajiwa siku chache zijazo) ndiko kutaleta hayo yote kwani ni wazi Zelensky atakuwa ameshindwa kama amiri jeshi mkuu.
  9. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndo maana kutakuwa na vita kuu ya tatu ya Dunia. Mstari mwekundu ulikwishachorwa kitambo kati ya Marekani/NATO na Russia. Hivyo wakiingia kichwakichwa safari hii kutakuwa na world war 3
  10. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Breaking News: Russia yautwaa mji wa Ocheretyne. Russia watarajiwa kulichukua mazima jimbo la Donetsk baada ya kuanguka kwa mji wa Ocheretyne. Jana usiku majeshi ya Russia yameutwaa mji wa kistratejia wa Ocheretyne ambao upo kilomita zipatazo 25 kaskazini mashariki kutoka mji mwingine wa...
  11. Richard

    TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

    RIP mzee Mkulo. Hata hivyo utakuwa umeishaangalia filamu za Godfather au Good Fella’s au Sopranos. Nchi yetu ndivyo inavyoendeshwa kwa kutumia ule mfumo wa Kleptokrasia. Marehemu Mkulo, Ramadhani Dau, Marehemu Ditto, Uiso, Janguo, Kitwana Kondo na mazee wengine hawa ndo wenye kuhakikisha lile...
  12. Richard

    Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

    Wazungu wa UK wamepiga kelele kuhusu utawala wa PK kuhusiana na haki za binadamu lakini ni double standard ndo yatawala Dunia kwa sasa. Hata wanasheria wa haki za binadamu wamepigwa mkwara wamefyata. Isitoshe pale Uingereza kila mwaka wa uchaguzi wahafidhina hutumia kete ya uhamiaji kutafuta...
  13. Richard

    Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

    Ni zile gharama za mahoteli na chakula. Wahindi wenye nyumba, mahoteli kama ile ya Ibis wamepiga sana hela. Ila gharama zimekuwa kubwa. Ndo wamepiga deal na PK na Rwanda imevuta pesa ya kutosha. Akili kichwani.
  14. Richard

    Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

    Maghayo , sasa mbona waandika point mzuri kisha waiharibu? Vipi Copenhagen hapo jua limetoka?
  15. Richard

    Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Kimantiki Nape hana hoja na hana haki ya kumuita Tundu Lissu mpuuzi.
  16. Richard

    Amos Makalla: Kauli zinazotolewa na Lissu ni hila, hazina Ukweli na zinaleta Ubaguzi

    Watanzania wana ufahamu mkubwa kuwa Makalla ni timu Msoga. Hivyo hakuna kipya hapo ni kuhakikisha S100 anashinda uchaguzi wa 2025 kuendeleza upigaji wa CCM na washirika wao.
  17. Richard

    Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

    Naona umeamua ama kupotosha au kuandika masuala ambayo huyafahamu uzuri kwa undani. Habari za kijasusi zilizopo ni kwamba Apple wanunua madini yale ya T3s ambayo (kwa kufahamu au kutokufahamu) huibwa na kutoroshwa kutokea Kivu huko Goma na kuishia Kigali. Na moja ya sababu kubwa ya Tshisekedi...
  18. Richard

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Mkuu, nilikuwa naamini ukiandika kitu basi ni madini matupu, ila sasa napata mashaka kama una ID moja au? Baada ya US kufanikiwa kuiangusha USSR ndo fedha hizo unozisema zikaingizwa kwenye mfumo wa fedha wa Russia. Kila kitu kikabadilika na hata küpelekea Urusi kuwa nchi ya wapigaji...
  19. Richard

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Lile shambulizi nchini Russia lisingeweza kumwachia jamaa na kikosi chake.
  20. Richard

    Mbozi: Zahanati ya Kijiji yafungwa kwa kukosa Wahudumu. Wananchi wateseka

    Serikali ingeendeelea kumwajiri huyo tabibu kwa mkataba maalum hadi hapo atakapopatikana tabibu kijana ambae ana asili ya hapohapo. Na wakati huohuo serikali yasomesha vijana ambao wamefaulu na watokea hukohuko Mbozi waenda pale Mbeya wasomea utabibu.
Back
Top Bottom