Recent content by Rev. Kishoka

  1. Rev. Kishoka

    MwijakuGate

    Let me be the devil’s advocate here and provoke even a bigger debate hapa and elsewhere ! There are couple of things that we need to look at this MwijakuGate. 1. We are troubled with his unorthodox approach simply because we were hopping to see a more organized and formal way to market...
  2. Rev. Kishoka

    The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    Ukikaa chini na kutafakari kinachoongelewa humu, utaona kuna "umimi" zaidi na jitihada za kujimwambafai zaidi... sawa na wanaume wanaojaribu kushindana Urijali wao! Tunachofanya ni kujenga na kupanua nyufa za utengano kwa kuangalia na kutukuza "umimi" na si kuangalia kujumuika na kujenga...
  3. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Waswahili wanasema: "Kizuri chajiuza, kibaya Chajitembeza!'
  4. Rev. Kishoka

    The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    Kwani mwisho wa siku tukiweza unganisha nchi zote kwa SGR kuna tatizo gani? Mbona EuroRail inapita kila nchi bila shida?
  5. Rev. Kishoka

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Kama kuna kitu ambacho Serikali ya Tanzania haikuwa imejiandaa vizuri na hata kuelewa ni uwepo wa internet na nguvu (power) ya internet. Leo hii Jamii Forum ni kubwa kuliko magazeti ya kila siku nchini. Na uhakika kuna watu wengi sana hasa Wanasiasa, Watendaji wa Serikali na hata vyombo vya...
  6. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Unakumbuka Mramba na Yona walifungwa kwa kutumia hiyo ministerial discretion? I wasn't addressing sheria ya Bunge bali uhalisia kuwa hatuwezi kujifanyia vitu alimradi kuna "discretion"! Where are checks and balances? Je kuna tofauti gani ya ki-memo kwa Waziri baada ya pesa kupitishwa kikisema...
  7. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Comrade Mzuvendi, It had been years since we enjpyed such discussions. I have highlighted few things on your first paragraph and I am very much alarmed by your comments which comes across as adoration of the "strong leadership" even though in true essence it isnt leadership but a type of Ops...
  8. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Uamuzi wa kuhamisha ujenzi wa airport kutoka Geita na kwenda Chato ulifanywa na nani na kuthibitishwa na nani? Unilateral decision ya Waziri au Rais? isnt that abuse of power? or rather deceiption?
  9. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Mwalimu, This "weighing" scale is too big to try and qualify Bwana mkubwa to be fiting. Yes, we may give him kudos for decisiveness but due to recklessness.. things have been overtutned and will overturned when he is gone. People (watu, Team) are scared to stand up and say "boss this isn't...
  10. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Mwalimu Kichuguu, KIdogo natatizwa na uhalisia wa "kutekeleza sheria" ambako kunafanywa kutokana na Sheria kuundwa kwa makusudi kabisa na kulazimishwa kuwa sheria ili kuhalalisha "utekelezaji wa sheria"... Imekuwa ni kawaida ya nchi zetu za Kiafrika kwa aliye Rais kutunga sheria kwa ajili ya...
  11. Rev. Kishoka

    Uthubutu wa Rais Magufuli...

    Lakini Uthubutu unaweza kuwa wa kufanya yalio mema na kufanya mambo mabaya.. msingi mkuu kujitambua ni je kila mmoja na uimara wa kufanya uthubutu wa yaliyomema? au uthubutu wetu ni wa mambo mabaya ikiwa ni pamoja na kuendeekeza UUMUU? je kama jamii inayapokeaje yale ya Uthubutu hasi ambayo ni...
  12. Rev. Kishoka

    The Daring and Bold Magufuli

    Lakini Uthubutu unaweza kuwa wa kufanya yalio mema na kufanya mambo mabaya.. msingi mkuu kujitambua ni je kila mmoja na uimara wa kufanya uthubutu wa yaliyomema? au uthubutu wetu ni wa mambo mabaya ikiwa ni pamoja na kuendeekeza UUMUU?
  13. Rev. Kishoka

    Uthubutu wa Rais Magufuli...

    Straight line has been done and again rather than awakening wananchi to do the right thing... wananchi made bad choices 2009, 2010, 2014, 2015 and so they will repeat 2019 and 2020! Mtanzania inabidi abadilishwe mtazamo by looking inwards not outwards! Wangapi wanajua thamani ya kura na kodi...
  14. Rev. Kishoka

    Uthubutu wa Rais Magufuli...

    Ni wajibu wa msomaji kuelewa kwa ufasaha kilichondikwa hata fasihi ndani yake... wenyewe wasomi mnaita abstract art
Back
Top Bottom