Recent content by physician2023

  1. P

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Ndugu zake ndio wakudai huo uchunguzi,sio wewe.Muhimu kamsadia Mtanzania mwenzake,tuache kubaguana.
  2. P

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Ndege iliyokodiwa na Mbuge,mhindi,,mzanzibari,,kada wa CCM.
  3. P

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Hoja yako ina nguvu,na hoja ya kisheria.Asifukuzwe daktari aliyemuhudumia,na wengine waliomhudumia,afukuzwe yeyr mmoja tu.
  4. P

    Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Aibu kwa Israel,mabomu yao wanaopiga,,ndio yamewauwa hao,watu wasio na hatia.Israel ni magaidi wa kimataifa
  5. P

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Kwa hiyo wewe umewahi kufanyiwa hivyo nini na huyo mtu anayeitwa Mudi,ndio ukajua nimfanyaji hivyo.Pole sana,lakini jitahidi uache,usiendelee.Kila msifia mvua,ujue imemnyeshea.
  6. P

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Hakuna ushenzi wowote,tofautisha dini na mtu aliyeingia kwenye hiyo dini.Ndio ukaona huyo kauliwa,kwa sababu kenda kinyume na maharishi ya dini ya kiislamu.Ingekuwa wa dini nyingine mpaka leo,angekuwa anapeta,na kungefanyika maridhiano,yakaisha hayo.
  7. P

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Ndio uislsmu ni dini isiyokubaliana na ushoga,ndio akauliwa.Kwa dini nyingine,kungefanyika maridhiano mambo yakaisha kimya kimya.
  8. P

    Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Ndio.ujue waislamu hawataki upuuzi huo,ndio wakamuuwa.Lakini kwa wengine,asingeuliwa,ingefanyika vikao vya maridhiano,na ndio ikawa imekwisha hiyo. Coast region wapo dini tofauti na wasiokuwa na dini,,wengi hufikiria mikoa ya Pwani wapo watu wa dini aina moja.Tena huko ndio utakuta...
  9. P

    Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Na muarabu asili yake ni mweusi.Hao unaowaona weupe,ni babu zao weusi,kuoa watumwa wazungu wa mashariki ya ulaya.
  10. P

    Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Asili ya muarabu ni mweusi.Hao unawaona weupe,ni baada ya muarabu wa asili(,mweusi),Kuoana na watumwa wanawake wa ulaya ya mashariki.Hata neno Afrika ni jina la mtawala muarabu mweusi,alikuweko huku Afrika.Kwa hiyo hawa half cast wa kiarabu(mzungu na mwarabu mweusi),nyinyi ndio mnawaita...
Back
Top Bottom