Recent content by Phillemon Mikael

  1. P

    Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    Huyu mume wake ni Yule alikuwa anatembea na BLACK BAG ….agents paymaster wa TISS …. Alichezea pesa ya idara sana …..kwa mambo ambayo hayakuwa na state interest …., alikuja kupigwa risasi mchana peupe pale uwanja wa ndege ….alikuwa pia na kashfa ya kusaidia Wauza unga kuvuka uwanja wa ndege...
  2. P

    Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Hizi ni zamu tu za mawaziri kamili kwenda kupokea wageni airport kunapokuwa na wageni Wengi….hata DOROTH GWAJIMA na Angellah Kairuki huwa wanapewa hizo nafasi
  3. P

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Genge project Huyo anazuga….na vikao wanakaaaa … team DPM
  4. P

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Walitaka aachwe na alikuwa anahujumu ulinzi wa usalama wa nchi na mipaka yake ??? Alikuwa na Nia ovu ya kuidhooofisha nchi kiulinzi na utendaji Kivita Huku machoni kwa watu akifunika na kufanya miradi ya haha na pale .. Amiri jeshi gani miaka yake alisitisha ajira majeshini ?? na hata akitoa...
  5. P

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Walitaka aachwe na alikuwa anahujumu ulinzi wa usalama wa nchi na mipaka yake ??? Alikuwa na Nia ovu ya kuidhooofisha nchi kiulinzi na utendaji Kivita Huku machoni kwa watu akifunika na kufanya miradi ya haha na pale .. Amiri jeshi gani miaka yake alisitisha ajira majeshini ?? na hata akitoa...
  6. P

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Naona kapewa “mapumziko” kusubiri maamuzi ya Mamlaka ndani ya chama ……inaonekana kwenye hili mtetezi wake pekee ni mwenyekiti….wote waliobaki washaweka wazi msimamo wa kutoweza Kufanya Nate Kari, a test kwa mwenyekiti
  7. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Hofu yangu pia iko hapa…wale wenye msimamo mkali wa kidini watakubali kuswali kibra kuelekea bar za kukesha , watu wanaoogelea utupu …na uchafu mwingine unaoendelea pale ??? NDIO MAANA TUNAULIZA WATU WA MIPANGO MIJI WAMEFIKIRIA NINI KURUHUSU HILO ………. Migogoro mingine inazuilika ….., wangeacha...
  8. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Haikataliwi kutenga sehemu za kuabudu … lakini kujenga jengo la kudumu ni kuja kutafuta matatozo baadaye kwani wote pale wameambiwa wajenge majengo ya muda
  9. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Huo wa mwenge ulikuwepo pia kuna kanisa la wasabato
  10. P

    Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

    Mtu mwenye rekodi ya jinai na anayeendelea kutishia kudhuru raia ndio mama ameona anafaaaa kwenda kumwakilisha kwenye mkoa wa kimkakati , na Makao makuu ya afrika mashariki ambako mara nyingi atatakiwa kumuwakililisha kwenye masuala ya kimataifa
  11. P

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji...
  12. P

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Naona kabisa kwa tabia yake makonda hatamaliza mwaka arusha kama ambavyo Uenezi amekaaa miezi michache….. Wanamtafutia kufanyiziwa
Back
Top Bottom