Nenda kaangalie kwenye prospectus ya mwaka ulioinglia vhuo, wanaonyesha umuhimu wa field work maana ni sehmeu ya evaluation kwa mwaka huo. Field work ni sehemu ya evaluation yako kwanini hufahamu mkuu? Ndo maan nashangaa, haya matuition haya mhhh....
Duh... Hawa wanafunzi wa chuo siku hiziz ni majipu!!
Ina maana mwanafunzi hajua evaluation yake mpaka aje aulize swali hili?
Au wewe si mwanafunzi wa chuo @gma man?
Pascal Mayalla is a serious writer, hii post mtu unaweza kumeza kasa ukatokwa mapovu vibaya mno. Pia inaweza isiwe vibaya.
Ukweli ni kuwa usikurupuke kwenye hili, mwandishi yuko kivingine na ninamuelewa maana ni mtu mzima na huu si wakati wa kucheza cheza!!
Hayo ni ya kwako mimi sijasema nilisema tafsiri ya Mh Raisi siku ile, naheshimiana sana na Pascal Mayalla.
Read between the lines toka post yake usichukulie juu juu kama inavyosomeka!!
Kama kuna watu wa kupuuzwa ni huyu Bw. Muro.
Najua anatafuta nini kutoka Administration hii...
Hana haja ya kujidhalilisha kupata u-DC maana ndiyo the most he could get!
Nikweli na mimi nakuunga mkono Nguyu yetu Pascal Mayalla siku ile mzee alikuita a.k.a Njaa!
Kwa mtazamo wangu pia hii imekaa ki-sarcasm pia maana kuna mengine yana ka ukweli ukweli ndani yake. So unataka waingie kwenye vita wanayojua mwisho wake aibu!
Ki ukweli kuna umuhimu wa serkali...
carbamazepine Wema anafanya makusudi kuvujisha, maana umaarufu wake hupanda kwa mtindo huo. Iwe ni kiki, au kutafuta public sympathy.. Tayari yule dada yake maarufu ameshaanza kumtetea akisema aliyevujisha hampendi madam.
Haya mambo yao wanayaelewa wenyewe...
Lakini mi nakumbuka kinoike walikuwa dodoma miaka ya 2004 na walikuwa wanalima barabara ya Dom - Manyoni, mysteriously wakaindoka dodoma bila kazi kwisha, it make sense to me now!!!
Haya maviazi yako mangapi hayajaiva?
Kwa hiyo alitoka bungeni kutema cheche kwenye hili, mara paaap, marisasi ya kutosha!!
Wasomi wetu ndiyo wametufikisha hapa.
Ngoja nifanye zangu kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.