Recent content by Nyanzige30

  1. N

    Kesho ni mbaya sana

    Una ugomvi na mke wangu ww sio bure
  2. N

    Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    Hapo kwny nafasi za majeshi usiombe uombe na Mzanzbar hata uwe na vgezo hutoboi mbele yake yani wao wamepewa kipaumbele kuliko
  3. N

    Lissu apuuzwe au achukuliwe hatua za kisheria?!!!

    Mkishalipwa mna kelele mingi.. Lissu ni mpango wa Mungu mjibuni hoja zake msirukie rukie huruma zetu
  4. N

    Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

    Kulaani Kulaani kulaaani.. Hatukubaliani hatukubaliani hatukubaliani.. Mchochezi mchochezi mchochezi.. Anatukana anatukana anatukana.. Yani ni lopolopo tupu hakuna anaejibu hoja hata mmoja. Mwenyezi Mungu kwanini umetuumba nchi hii tuongozwe na wafia tumbo. Why God WHYYYYY
  5. N

    DOKEZO Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

    Hv uhamiaji mwaka huu hakuna walirudishwa nyumbani kwa unfit?
  6. N

    Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

    Mwenyezi Mungu ampe umri mrefu huyu mtu. Amlinde kwa ajili ya vizazi na vizazi
  7. N

    Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 20+ na Mungu akamlinda leo anatembea na kusimama tena UTAMLAANIA WAPI Mtu anaetuambia yale tusoyajua kuhusu nchi yetu tena kwa Data zilizonyooka TUNAACHA VIPI KWENDA KUMSKILIZA Nape na wenzako kwanini msimshauri Rais akawatoe Wapemba na Waunguja pale Stone Town...
  8. N

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    KUMEKUCHA HUKO UT
  9. N

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Sina uhakka sana lkn lonja nililonalo wiki hii ndo wamechukua vpmo na majibu bado mpk wiki ijayo nadhan na kozi ndo itaanza baada ya majibu
  10. N

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Nipo tu kitaa bro napiga “deiwaka”
  11. N

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Jeshi lolote la nchi hii km huna mbuyu/mbanga/connection hutoboi
  12. N

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Ngoja nitoe ushuhuda zaidi, unaweza kuwasaidia wengine hata km sio leo. Nilipohitimu 2017 shahada yangu ya Sheria msoto wa kukosa ajira nikaamua kujikita kurejea jeshini japo JKT afu nibahatishe PT,MT,ZT au UT lkn bila bila. Namlaani sana Anko wngu alienambia niongeze vyeti zaidi ili...
  13. N

    Sioni haja ya kwenda chuo

    hata ningeajiliwa mshahara hauvuki 600k. Usomi wa nchi hii ni huzuni
  14. N

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Nilihitimu kidato cha SITA 2014, Tukaenda mujibu.. Mm na wanangu 6 tulipata “Zali” la kubaki na Option ya kuajiliwa baadae.. Nikalikacha kwa kuhadahika kwa bata za chuo na degree, wanangu wakabaki Jeshini, 2016 wakaajiliwa na wakala nyota! Mi nikahitimu 2017 mpk leo ni mjobless na wanangu wana...
  15. N

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Kwa kuwa ni Malisa GJ na Bro Bon Jacob basi nawaambia achaneni nao mtavuliwa nguo bure kwa fact zao.. Wale watu hawasemi wasilolijua ama kuwa na uhakika nalo. Kaz kwenu PT
Back
Top Bottom