Kulaani Kulaani kulaaani.. Hatukubaliani hatukubaliani hatukubaliani.. Mchochezi mchochezi mchochezi.. Anatukana anatukana anatukana.. Yani ni lopolopo tupu hakuna anaejibu hoja hata mmoja. Mwenyezi Mungu kwanini umetuumba nchi hii tuongozwe na wafia tumbo. Why God WHYYYYY
Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 20+ na Mungu akamlinda leo anatembea na kusimama tena UTAMLAANIA WAPI
Mtu anaetuambia yale tusoyajua kuhusu nchi yetu tena kwa Data zilizonyooka TUNAACHA VIPI KWENDA KUMSKILIZA
Nape na wenzako kwanini msimshauri Rais akawatoe Wapemba na Waunguja pale Stone Town...
Ngoja nitoe ushuhuda zaidi, unaweza kuwasaidia wengine hata km sio leo. Nilipohitimu 2017 shahada yangu ya Sheria msoto wa kukosa ajira nikaamua kujikita kurejea jeshini japo JKT afu nibahatishe PT,MT,ZT au UT lkn bila bila. Namlaani sana Anko wngu alienambia niongeze vyeti zaidi ili...
Nilihitimu kidato cha SITA 2014, Tukaenda mujibu.. Mm na wanangu 6 tulipata “Zali” la kubaki na Option ya kuajiliwa baadae.. Nikalikacha kwa kuhadahika kwa bata za chuo na degree, wanangu wakabaki Jeshini, 2016 wakaajiliwa na wakala nyota! Mi nikahitimu 2017 mpk leo ni mjobless na wanangu wana...
Kwa kuwa ni Malisa GJ na Bro Bon Jacob basi nawaambia achaneni nao mtavuliwa nguo bure kwa fact zao.. Wale watu hawasemi wasilolijua ama kuwa na uhakika nalo. Kaz kwenu PT
Nilikuwa namaanisha wameshaonesha nyingi sana za hivyo na nimezitaja kwa majina so imetosha waweke za aina nyingine mana hatulipii kuangalia maudhui hayo hayo kila siku. VIPI HAPO PROUD TO BE BADO TUPO PAMOJA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.