Recent content by Ng'azagala

  1. Ng'azagala

    Matumizi mabaya ya ujenzi wa Flyover na Madaraja ambayo Malori hayaruhusiwi kupita. Why?

    Nchi nyingi duniani mizigo inabebwa kwa rail na siyo barabara. Ni Tanzania tu ndiyo tupo tofauti na ni wa kwanza kulalama barabara mbovu kila wakati. Hayo madaraja yanabeba maroli kwa viwango vya kawaida. Shida bongo ni upakiaji wa mizigo kupita kiwango na hata control siyo makini. Hivyo...
  2. Ng'azagala

    Usahihi kwenye matumizi ya 'hand brake' kwenye magari 'automatic'

    Katika maelezo yako hapo haujahusisha matumizi ya break ambayo kwangu naona ikiwa umeikanyaga mpangilio wowote wa hizo nyingine utakuwa sahihi
  3. Ng'azagala

    Sheria Mpya ya Mafao: Mama aangua kilio ndani ya ofisi za PSSSF!

    Tofauti ya sheria mpya na ya zamani ni kwamba. Zamani 50% inatolewa lumpsum na 50% inagawanywa kama malipo ya mwezi Mpya: 25% inatolewa kama lumpsum na 75% inatolewa kama malipo ya mwezi. Sasa kwa mahesabu ya huyo mama, inaonekana hiyo 98 m ni malipo yote anayopaswa kulipwa. Kwa kikokotoo cha...
  4. Ng'azagala

    Wataaramu wa Rangi za gari

    Thanks Zipo wapi hizi
  5. Ng'azagala

    Wataaramu wa Rangi za gari

    Ni wepi wataalamu wa upigaji rangi kwa magari na pia wa bei ambayo ni reasonable. Nimepiga rangi mahali ila zinafubaa mapema.
  6. Ng'azagala

    Naomba kujua sababu ya gari kuchemsha (overheat)

    Mkuu hebu rudia kusoma reference zako, kazi ya cooling ni ya maji au coolant. Jaribu kukagua engine uone pipes za maji kutoka kwenye rejeta zinaingia wapi. Check water pump thermostat nk. Kwa kifupi kwenye engine kuna njia za maji kama wengine walivyoeleza. Cylinder head gasket ina njia za maji...
  7. Ng'azagala

    Napinga Barabara za umma kupewa majina ya watumishi wa umma

    Leta CV yako hapa tuone kama tunaweza kupendekeza jina lako
  8. Ng'azagala

    Ukweli mchungu: Vijana wengi wanaohitimu VETA wapo vizuri zaidi ya wahitimu wa vyuo vikuu

    Wapo levels tofauti, kuna graduates na technical people huwezi kuwalinganisha . Ni kwamba tu huwa tunawachanganya Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ng'azagala

    Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

    soma hii hapa kakujibu vizuri Iliomleta boss wa Barrick ni Gulf Stream maalum kwa kusafiri umbali mrefu bila kusimama. Hii Bombardier ni maalum kwa safari fupi fupi, kwa maana hio safari hii itakuwa imeweka vituo nchi kadhaa kabla ya kuendelea. Kingine imeletwa na marubani wawili. Rubani ana...
  10. Ng'azagala

    Kama dunia inazunguka kwanini hatumwagiki?

    Nyota zinatembea kama jua na mwenzi. Ila nyota inaaminika zipo mbali zaidi ndiyo maana unaona kama hazitembei. Watu wanaoishi jangwani wanatumia sana sayansi ya nyota. Ukitaka kuhakiki jifunze majina ya nyota then fuatilia mida ya usiku, ndani ya masaa tano hivi utajua
  11. Ng'azagala

    Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Ipo pembeni ya ilipokuwa bilcanas na pia mgahawa wa break point posta
  12. Ng'azagala

    Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Hili funzo zuri kwa wakristo. Ukisoma Marko 12:41-44 wameeleza vizuri kwenye - Widows' offering
  13. Ng'azagala

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Kama Kakobe ana pesa namshauri ajenge hata Hospital angesaidia na wananchi wangemwona wa maana. BAKWATA, TEC, CCT Sabato nk wana Hospital nzuri sana
  14. Ng'azagala

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Hapo kuhusu Gwajima ni uwongo mkubwa. Pengo hajawahi mshitaki Gwajima. Pia kumbuka maelezo ya Pengo yalikuwa kwamba anafafanua kuwa kauli ya Niwemugizi siyo ya kanisa kwani tayari ulikuwa na hiyo argument iliyohitaji ufafanuzi
Back
Top Bottom