Habari wakuu
Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
Swali hili nakumbuka lilikua Physics ya Advance kwenye rotational dynamic,,Rotten egg and Raw egg,majibu yake ni cmpo tuuu,,acha nimalzie hizi kongoro fasta,,nitaleta.Tuliosoma mgote tukumbushane
Wakuu habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kampuni ya Tigo Tanzania imedhulumu haki za Freelancer wake wote kwa kutokuwalipa stahiki zao za mwezi wa nane bila sababu za msingi.
Tunaomba ushirikiano wenu kulijadili hili na kulipeleka mamlaka husika. Vijana wamedhulumiwa pesa nyingi sana...
Habari dada,
Napenda kukupongeza kwa kujitahidi kuweka bajeti nzuri ya mshahara wako na kufanikiwa kufanya vema katika kuliweka wazi hilo. Ni kweli kabisa kwamba maisha yetu hapa Tanzania yanahitaji ubunifu wa ziada ili kukidhi mahitaji yetu. Kwa kushirikiana na mfano wako, ninaelewa umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.