Search results

  1. N

    Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  2. N

    Sayansi ya kutambua yai zima na bovu

    Swali hili nakumbuka lilikua Physics ya Advance kwenye rotational dynamic,,Rotten egg and Raw egg,majibu yake ni cmpo tuuu,,acha nimalzie hizi kongoro fasta,,nitaleta.Tuliosoma mgote tukumbushane
  3. N

    Dhuluma iliyofanywa na kampuni ya Tigo kwa freelancer

    Wakuu habari, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kampuni ya Tigo Tanzania imedhulumu haki za Freelancer wake wote kwa kutokuwalipa stahiki zao za mwezi wa nane bila sababu za msingi. Tunaomba ushirikiano wenu kulijadili hili na kulipeleka mamlaka husika. Vijana wamedhulumiwa pesa nyingi sana...
  4. N

    Mshahara wangu kwa mwezi ni 250,000/=. Kupangilia mtihani

    Habari dada, Napenda kukupongeza kwa kujitahidi kuweka bajeti nzuri ya mshahara wako na kufanikiwa kufanya vema katika kuliweka wazi hilo. Ni kweli kabisa kwamba maisha yetu hapa Tanzania yanahitaji ubunifu wa ziada ili kukidhi mahitaji yetu. Kwa kushirikiana na mfano wako, ninaelewa umuhimu wa...
Back
Top Bottom