Hivi ndo hao walianzisha matukio ya uchunaji ngozi kwa kumchuna kijana wa kule Ileje?.
Senjele na lile eneo zima pale lianaogopeka. Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipita nikakuta container imeanguka pale ila inalindwa na askari wenye SMG
Hapana mkuu, madhara ni kwa wote, japo inaweza kuwa sio kwa uwiano sawa. Kumbuka unapozungumzia Israel huwezi waacha washirika wake, pia Iran nayo ina washirika ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza unga mkono endapo ikiwa vita kamili.
Kama umefuatilia habari, leo baada ya tukio la Iran...
Unajua hii vita watu wanaichukulia kwa urahisi sana na ushabiki, bila ya kujua nini yanaweza kuwa madhara makubwa ya vita hiyo.
Eneo la mashariki ya kati tayari liko kwenye mgogoro mkubwa, na ndiyo maana unaona baraza la usalama la umoja wa mataifa linakaa vikao kila siku, lengo ni kushinikiza...
Mkuu,
Sijajua uelewa wako juu ya swala alilozungumza Mufti likoje. Kwa clip uliyoweka hapo ni kuhusu mamlaka ya kuatangaza swala la mwezi.
Kumbuka maswala haya yanategemea miandamo ya mwezi, kwahiyo ni sikukuu ambazo kiuhalisia hazina tarehe iliyo kamili. Sasa jiulize, mamlaka isingekuwepo ya...
Mkuu,
Watu wanachanganya mambo, sio kila Cobra anayeonekana ni King Cobra. King Cobra wako bara Asia tu, na kitaalam kabisa katika unyumbulisho wao kisayansi wanasema wale sio true cobra.
Tunachopaswa kujua kuna zaidi ya aina 38 ya Cobra duniani. Na sio Cobra wote hutema mate/spitting, wako...
Mkuu,
Huyo King Cobra unayeshauri apelekwe kwa ajili ya kula hao Black Mamba, mtoa mada anampata wapi?.
Unajua kwamba King Cobra sio native snake in Africa?, wako bara Asia huko. Jisomee vizuri tena.
1. Mara nyingi akaunti ikikaa muda mrefu bila kutumika hulala na baadaye kufungwa. Akaunti iliyofungwa huweza kuombewa special approval kama kuna ulazima huo haswa kwa mambo ya kisheria na ikafunguliwa.
Pia kuna wale ambao unakuta ana mkopo unao husiana na akaunti hiyo, na labda anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.