Recent content by Natafuta Ajira

  1. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Wewe haupo tayari kwa majadiliano ya hoja wewe akili yako ishajiandaa kupinga yaani haijalishi mtu ataongea nn unachoangalia wewe ni angle ya kupinga tu., haiwezekani watu wote unaobishana nao kila siku hakuna hata mara moja ushawai kuona point yaani uwe mtu wa kupinga pinga tu hakuna siku hata...
  2. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Hapo kwenye kujiamlia mambo yao ndipo kunakuaga na makandokando, ukiona kauli iyo kutoka kwa mwanamke "nahitaji muda kujiamlia mambo yangu" ujue ndio wale wale tu.. wewe mambo gani ya maana hauwezi kujiamlia ukiwa ndoani? Hivi umwambie mumeo unataka kufanya kazi, kufungua biashara n.k unataka...
  3. N

    Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

    Sure mzee jamaa quality ndogo sana yule na kuna takataka nyingi sana pale za kuondoa pale antony, magwaya, evans, varane, mount, amad diallo, erriksen, martial wote ni wa kusepa ,akipatika 6 mzuri basi casemiro nae anaweza ruhusiwa tu kuondoka, rashford anatakiwa kuamka msimu huu amekua ovyo...
  4. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Naona umeamua kifunika kombe mwana haramu apite. Uyo jamaa anapenda sana ligi sijui analipwa kubishana na watu.
  5. N

    Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

    Timu inahitaji marekebisho makubwa sana na uyo amrabat ni mmoja ya wanaotakiwa kuondoka, hawa wengine wakina magwaya kuwatoa inatakiwa busara kidogo kwa sababu bado wana mikataba kwaiyo timu itaingia hasara ya kulipa gharama za kuvunja mikataba suluhisho ni kuwauza zikitokea timu zinazowahitaji...
  6. N

    Yaani Man united ni vichekesho tu ona huyu

    Quality yake sio ya kucheza man utd, ni mzito na anapoteza sana pasi kwenye maeneo hatari
  7. N

    Oleksandr Usyk Atwaa Mkanda wa WBC Baada ya Kumchapa Tyson Fury.

    Fury alipelekewa moto akawa anaona nyota nyota tu
  8. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Mwanamke ndie yupo desperate na ndoa kwa sababu demand yake kwenye soko la mahusiano inawahi sana kushuka, mwanamke akifika miaka 30 tayari ashakua makapi tofauti kabisa na mwanaume. Suala la pressure kila jinsia inakumbana nalo katika angle tofauti hata ukija upande wa ku-maintain costs za...
  9. N

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Kutofautiana kimtazamo sio hasira. Umehalalisha mwanamke kutokua na bikira kwa kutumia sifa ambazo yoyote (asiyekua na bikira au mwenye bikira) anaweza kuwa nazo au asiwe nazo ndio maana nikakupinga, ukweli unabaki pale pale mwanamke mwenye bikira ni kielelezo cha mwanamke aliejitunza na...
  10. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Tupo afrika tunaongelea uhalisia kwenye jamii ya kiafrika sio jamii ya kizungu., unataka kuendelea kupelekewa moto mpaka ukifika miaka 50 ndio uoelewe nenda kaishi kwa wazungu ambao kwao iyo sio ishu ila wanaume waafrika hatuoi makapi
  11. N

    Mwanamke jitambue

    Izo akili huwa wanazipata wakishakua makapi(30+)
  12. N

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Bikira ni muhimu na heshima kubwa sana kwa mwanamke. Nitoe mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta binti ashatumika? Kama haujaolewa na aliekutoa bikira usitafute justification ya kuahalalisha ukicheche wako. Suala la kujitambua hata mwenye bikira anaweza kuwa anajitambua tena uyo ndio mfano...
  13. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Iyo iyo pressure ndio desperate yenyewe ninayoiongelea kuhusu hao wazungu achana nao wewe sio mzungu, wewe muafrika ishi kwa kanuni za afrika na hao wazungu waache waishi kwa kanuni za kizungu
  14. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Sio mpaka uzeeni mkuu mwanamke akifika 30 tu anaanza trip za kwa mwamposa na waganga wakati mwanaume huo umri ndio kwanza kuna pambazuka
Back
Top Bottom