Recent content by Mzee wa kupambania

  1. M

    Waliozaliwa 1984 tukutane hapa tuzungumze...

    Kama ni mwajiriwa ina maana umebakisha miaka 20 tu ustaafu
  2. M

    Mapenzi ndio ni uchafu ila kwanini unilazimishe kumeza uchafu

    Fyonza tundu zote kijana Maisha ndo haya haya Kula raha za dunia
  3. M

    Kwa nini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    TikTok algorithms TikTok inakuletea vitu kutokana na mwenendo wako wa mambo unapenda kutazama
  4. M

    Nguvu ya kunyamaza

    Ujumbe mzuri
  5. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Mwehu wewe. Barabara ya Mwenge-Tegeta ilijengwa na kampuni ya Japan ya Kajima haikutoboa hata miaka 5 nayo unasemaje?
  6. M

    Wanaume wengi humu hawana pesa wala michongo ya kueleweka

    Wewe utakuwa single maza si bure
  7. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Ushindani kutoka China-based mobilephone brands uliwakimbiza China
  8. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Acha uongo wako wewe. Naona hauna ushahidi wowote. Hovyo tu
  9. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Hivi hizo Samsung wenzetu huwa mnatengenezewa special order? Hilo ni toleo gani la Samsung watoto wanalitupatupa haiharibiki? Kwamba humu hakuna watumiaji wengine wa Samsung?
  10. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Hakuna kampuni inaitwa Clouds Innovation iwe ni Mainland China wala HK. Tuletee official website yao tuone HQ yao ilipo
  11. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Simu ipi kutoka Marekani alitumia babu hadi mjukuu?
  12. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Bado hata nchi za West Africa wanaimport zaidi vitu kutoka China
  13. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    Barabara ya Mwendokasi Kimara-Kivukoni-Gerezani ilijengwa na kampuni ya kizungu STRABAG, Austria Hata miaka 10 haina tayari ina mawimbi hovyo kabisa Unalizungumziaje hili?
  14. M

    Acha tu Mchina awashikishe wazungu Adabu maana bidhaa zao ni Ghali sana

    China hamna kampuni inaitwa Cloud Innovation LTD., Lete uongo mwingine
Back
Top Bottom