Habari wanajamvi!
Nimebahatika kutembelea ofisi za RITA pale posta Mara kadhaa kufuatilia VYETI vya kuzaliwa vya vijana wangu.
Mara ya kwanza nilifuatilia Cha kijana wangu mkubwa nikafanya malipo ya 10,000 wakanipangia tarehe ya kukifuata lakini nilipoenda wakadai stakabadhi haisomeki kwenye...
Kunafanyika sensa mashuleni zenye lengo la kupata idadi ya wanafunzi,walimu na miundo mbinu Kila mwaka mwenzi March Hadi June.Hivyo hii hupelekea kupata taarifa sahihi Kama hawahamihami ovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii yamkini ningepata mambo kadhaa yanayopelekea wasioe hapa.
Ameonakana AY kaoa Rwanda,Alikiba leo anaoa...
Ukisoma kwa haraharaka kuhusu report ya CAG utagundua kuwa alimuweka mbele siasa na mambo mengine aliyeka pembeni.
Ilikuwa kazi ya bunge sasa kuisimamia serkali ili mambo yakae sawa lkn kwa bunge hili wala tusitegemee chochote
Vijana wengi wa kiume wako busy vibandani kufuatilia mpira (VPL); hata hawajui kama kuna bunge!!. Wajane na wanawake walioachwa wako busy wawapelekeje waume zao na waliowazalisha kwa Makonda; Hata hawajui kama kuna bunge!.
Wanaoishi mabondeni wako busy namna ya kujinasua na mafuliko hata...
Shule,makanisa,na taasisi zozote zinapoanza kuchangia hakukwepeki,Naamini CDM NI CHAMA KICHANGA,RUZUKU PEKEE HAZIWEZI KUKIMARISHA CHAMA.kuchangia hata sisi wanachi tunaweza.Akina kawawa waliwahi kumchangia nyerere ili kujikomboa.Ukiona huwezi kuwepo Upinzani nenda ccm kwenye masirahi kuwanyonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.