Recent content by mwaminifuhalisi

  1. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Hamisi Omary, Hiyo ni kozi ipo kwenye website kama utashindwa kulipia hiko kitabu. Ukibonyeza link hiyo ya android tutoriapoint kushoto kuna menu ya kozi yote ya Android ipo namna. Kwa hiyo menu ina machaguo na link ambazo zina content kuhusu android, kwa kuwa ww ni beginner kabisa anza na...
  2. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Hamisi Omary, Sina uhakika na njia nyingine kwa simu hii, kama kuna mbadala ulipewa jaribu kufanyia kazi.
  3. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Hamisi Omary, Unaweza kuanza na hiki cha JAVA how to program Kwa upande wa android pia hii tutorial ya android programming kutoka tutorial point ni nzuri kwa begginer mpaka kwa advanced developer.
  4. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Simu yako unaweza ukaroot kwa kutumia app ya kingo root. Inaweza ikastuck ikifika 90% lakini baada ya mfupi itakwambia kuwa umefanikiwa ku-root. Kumbuka ku-root pia ina side effects do it at your own risk.
  5. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Siku hizi kuna njia nyingi watu wanatumia kutengeneza apps za android. Kuna platforms baadhi ambazo unaweza kuunda apps za simu za android bila kuwa na ujuzi wa code. Just Google utazikuta, lakini pia kama unafahamu html,javascript,php unaweza kuunda app ya simu kwa kutumia apache cordova nk...
  6. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Developer Tips. Developers na wote ambao wanajifunza utengenezaji wa android apps mnatakiwa kuwa updates na mabadiliko ya versions za android. Google wanatarajia kuja na android 9(android pie) kuna mambo mapya yameongezwa. Kwa upande wa developers pia kuna changamoto, Google huwa wanaondoa...
  7. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Patrick03, Jambo zuri kwa wale wanaohitaji kuwa na full access na simu zao. Usisahau pia kutoa tahadhari.
  8. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Hamisi Omary, Mbona nimejaribu kutoa somo kwa baadhi ya app, na hapa bado naendelea kudesign app niliyoahidi mara mwisho.
  9. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    AUDIO PLAYER APP ADDITIONAL FEATURES II Code yetu inaenda kuhusika kwenye kufanya yafuatayo, kwanza inabidi tuielekeze audio application yetu iombe permission endapo android smartphone itakuwa na restriction. Pili tunaenda ku-declare database, ambapo hapa tutaimploy Cursor kwa sababu ndio huwa...
  10. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    AUDIO PLAYER APP ADDITIONAL FEATURES II Kwenye sehemu iliyopita tuliweza kutengeneza UI (User Interface) kwa kutumia class ya ListView ambayo hupatikana tu ukidrag. Kwenye post hii tunaenda kuandika java code kwa ajili ya kupata na ku-play audi files yoyote ambayo ipo storage ya simu yako...
  11. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Babarazack, Je hii modem ulikuwa unaifungulia kwa kutumia browser? Na ni huawei? Kama ni hivyo kwanza modem inabidi uibadili kutoka webui ili com ports zionekane kwenye device manager. Baada ya hapo tafuta firmware ya modem yako kulingana na model number.
  12. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    AUDIO PLAYER APP ADDITIONAL FEATURES Endapo umefata maelekezo ya apps ambazo tumeunda kuhusu audio utakuwa na basics ambazo zitakusaidia ku-intergrate audio file na app lakini sio kutengeneza audio android app iliyo kamili. Kwa hiyo kwenye post hii nitatoa muongozo wa kutengeneza android...
  13. mwaminifuhalisi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Nitaendelea soonest nadhani jumanne si unajua maisha, najaribu kuiongezea functions app ya mziki. Kila weekend nitahakikisha nitakuwa napost mpaka kukamilisha apps zote.
Back
Top Bottom