Pumba kabisa za huyo muumini pascal, mbona ameshanadi wagombea kibao majukwani na wakaishia kuangukia pua, amemchezea jk sasa hiki chuma cha pua subiri
nimeona twitter, chadema ikiendeleaa kutegemea ma idiot kama ww yericko kutwa kutukana mitaandaoni kitamfia mbowe acheni siasa za mitandaoni nendeni kwa wanachi, issue ya kuchaguliwa magufuri tayari ilishafanyika wakati akigombea urais hivyo itakapofika miaka kumi ya urais ataingia mwingine kama...
upeo wako ni mdogo sana. hapa issue sio mikataba issue ni declaration ya wealth ya container na accia anajivua mwenye huu msala ni SGS sasa ndio itokee independent commision ikujumuisha SGS, ACCASIA, GOVT, Bunge wachunguze tena tujue ukweli
umeona enheee hiyo ndo dawa ya wabongo, akina bashe na rostam, kalamaghi, iptl, richimond, nbc, ttcl, wakati wanaiibia hii nchi akina bashe walikuwa wapi?
hivi utekaji na wizi wa mali za watanzania kipi kibaya, kwanza utekaji ni ww mwenyewe kihere here chako na matusi kwa serikali na ww bashe mku... wa bibi yako mlikuwa mnashirikiana na akina rostam kuiibia hii nchi sasa hakuna madili mnatafuta pa kuchomokea rudi kwenu somalia kashike mtutu...
Mkuu kunatakiwa signature 20% ya wabunge (396) wasign ambao ni kama 79 hivi then liwakilishwe kwa spika siku 90 kabla ya kikao cha bunge alafu spika aunde jopo la watu nane mwenyekiti akiwa jaji mkuu kumchunguza rais wrong doing then likimaliza limpelekee spika na spika a table mezani ijadiliwe...
kaka kutokuwa na imani na waziri mkuu ataunda serikali nyingine labda useme kutokuwa na imani na rais ambapo jopo litaundwa kumchunguza rais na kabla hilo jopo halijamaliza kazi atakuwa amevunja bunge ndipo uchaguzi utarudiwa. Nyerere alishawaambia kuwa kwa katiba hii mkipata rais dikteta mtakoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.