Recent content by Mwalimu

  1. Mwalimu

    Hii Beat ya Roy kwenye wimbo wa Matonya ni hatari

    RIP Roy! Alikuwa na beats za kipekee zilizowatoa wasanii kadhaa Matonya-Siamini, Vaileti, Dunia Mapito... Mr Blue-Niite Mr Blue, Mapozi... AB Skills-Nakupenda.... Noorah-Ice Cream Enika-Baridi kama hii
  2. Mwalimu

    RUBY ana Trauma na Depression, wanaomponda Ruby ni wajinga na ndio wamejaa kwenye familia zetu na maofisini

    Visingizio... Visingizio... Visingizio... Apambane na hali yake asimalizie hasira zake kwa wengine.
  3. Mwalimu

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Kwani ilikuwa ni lazima sana asaidiwe na Majizzo? Hakuna wengine? Halafu anaponda kulipwa laki 5 kwa show haiendani na brand yake si aende kunakolipa zaidi? Demu dish limeyumba kidogo...
  4. Mwalimu

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Mwalimu

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Mwalimu

    Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

    Faiza dishi limeyumba siku nyingi. Alishawahi kuvaa pampers kwenye birthday yake...
  7. Mwalimu

    Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

    Mangustino anapiga live band kila ijumaa yuko Target Bar Mbezi
  8. Mwalimu

    Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    Sio kila shamba linafaa kumwaga mbegu, mengine yamejaa mbigili na magugu mwanzo mwisho.
  9. Mwalimu

    Tanzania hajawahi kutokea vocalist kama Barnaba Classic

    Watoto wa juzi ukiwauliza vocalists kina Bitchuka, Marijani, Zahir Zorro hawawezi kuelewa wanawajua hawa hawa bongo fleva.
  10. Mwalimu

    Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Kukataliwa na BSS sio kigezo kwamba fulani hajui muziki na hatakuja kufanikiwa. Wangapi walipoanza safari yao walikutana na vikwazo hivyo hivyo lakini hawakukata tamaa mpaka wakafanikiwa? Diamond mwenyewe unajua ni kwa kiasi gani amesota wakati anaanza safari ya muziki na alikatishwa tamaa mara...
  11. Mwalimu

    Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Kama ingekuwa investment inafanyika kwa HURUMA basi hata Hamorapa angesainiwa wasafi... Nani amekwambia BSS ndio kipimo cha wanamuziki wazuri?
Back
Top Bottom