Hii biashara itakua ya kwako sawa
Ila wewe ndo utakua unaishi kama muajiriwa.
Akiwa anataka interest zake zitimie anakupiga mkwara tu kuwa anamwambia wife. Unapoa
Huyo jamaa mna uhakika ni mume kweli ni mwanaume?
Sasa **** cha kuomba ushauri hapo? Mchane jamaa na mfukuze kwenu
Mke wako anampenda jamaa, utavunga kama hamna kilichotokea mpaka mkeo analiwa nyumbani kwako
cha ajabu wanaolalamika bei sio watumiaji wa bidhaa husika.
Ukiona bidhaa huielewi elewi bei zake basi jua wewe sio target market yao.
Hata rolls royce ya billion 2 kadhaa kama hauna pesa utaona ni gharama wakati kuna benz ya bei chee inaku offer the same au inakimbia zaidi ya RR
We kama...
Mtoa uzi anaongelea Ronaldo de Lima
Watu wanafikiria Ronaldo huyu christiano, wanaleta ligi na messi😂😂
Hii mada ni kwa sisi wahenga tu, watoto wa Jf watupishe sasa
Sasa mzee hapo napata ukakasi umesema walibatizwa na kupewa majina ya kikristo.
Sasa kwanini unalalamika watumie majina ya kiislamu wakati walishaukana uislamu wakabatizwa na kuwa wakristo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.