Recent content by Munch wa annabelletz47

  1. M

    Natafuta shule iliyopo kijijini nikajitolee sharti kuwe na umeme tu

    Huko naenda kufanya biashara zangu pia Kijijini ni sehemu rahisi kutoa Kwa mujibu wa utafiti wangu kama itakua na pesa na mipango madhubuti
  2. M

    Natafuta shule iliyopo kijijini nikajitolee sharti kuwe na umeme tu

    Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE. Nahitaji shule ya kujitolea angalau Kwa miaka miwili ili niwe competent kwelkwel. MAHITAJI YANGU Kijiji...
  3. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Yan ujui kama nasoma masomo ya science biology na chemistry na ziada ya ualimu
  4. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Kunufaika na elimu ni akili ya mtu mwenyew
  5. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Kwann ujakosea nilipoandika KABSA mwalimu wa kiswahili darasa la pili C
  6. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Watu wajuzi jaman hizo KOZI zote nimeambiwa naweza soma na nasoma bachelor of science with education
  7. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Kwan chuo kipo kimoja kaka, kama SUA stakua na kgezo kwengne kupo
  8. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Nipo nafundisha Kwa kujitolea Toka mwaka wa kwanza semester ya pili
  9. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Public health haipo kwenye KOZI zangu za digrii
  10. M

    Nichukue kozi gani kati ya hizi kwa level ya Masters?

    Wanafundisha chuo gani hivo KOZI Kwa level ya digrii hapa bongo
Back
Top Bottom