Wewe unaona ni sahihi Mchina kupewa mgodi kwa Tshs. 200 million wakati kuna Mtanzania huo mtaji anao. Wewe unaona ni sahihi mgeni kupewa “Managerial” position kwenye kampuni ndani ya nchi yetu wakati Watanzania kibao wana ujuzi. Sisi tuna uchungu na hii nchi na tunajua inapigwa vipi!
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi bungeni mbunge wa Geita vijijini alitoa tahadhari kuhusu Wachina kupewa migodi wakati wana mitaji...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.