Recent content by MTINGIJOLI

  1. MTINGIJOLI

    Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

    It Depends , Hakuna kauli ya Moja kwa Moja kwamba Litaisha Lini, Linaweza Chukua Wiki kadhaa! Hadi Mwezi, Si Unajua Mambo ya Baharini Mzee, Inategemea na Hali ya Hewa Pia
  2. MTINGIJOLI

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    😀 Yaani Hayo Makampuni ya Simu ndio Wamewaambia tatizo Linaisha Wiki Hii?
  3. MTINGIJOLI

    Hivi kuna maelezo yeyote ya kitaalamu yaliyotolewa na mamlaka husika juu ya changamoto ya mtandao

    Ma Commercial Bank Yameathirika, Huduma Hazisongi Ipasavyo, Hata Kiuchumi Itatuathiri Hii
  4. MTINGIJOLI

    Hivi kuna maelezo yeyote ya kitaalamu yaliyotolewa na mamlaka husika juu ya changamoto ya mtandao

    Sisi Hatuna Hayo Maelezo, Hebu Tusaidie Wewe Mkuu Uliesikia, Si Vibaya Uka Share Hapa
  5. MTINGIJOLI

    Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Yeah! Hivi Wao Hawachukulii Kule?
Back
Top Bottom