Jaribu pia kumuelewesha umuhimu wa kile anachotakiwa kukifanya, hii itamsaidia sana kuzingatia na kuwa makini na kile anachokifanya. Imekuwa ni utamaduni wa familia nyingi kuwakurupusha watoto alfajiri na kuwataka wajiandae wawahi shule. Ni jambo jema lakini ukimuuliza mtoto kwa anaenda shule...
Poleni sana kwa maumivu hayo ya ndani, kuna mwanadada mmoja pia yupo mahali anafanya shughuli zake namuona anashida kama hii uliyoielezea kwa kijana wako. Sina uhakika sanaa, lakini ninejaribu kufuatilia historia ya yule dada alilelewa na mama pekee, baba alikumbia akaiacha familia. Sasa...
Hapa kwenyewe nipo safarini naelekea mikoa ya kaskazini, seat ya mbele yangu walikuwa wamekaa warembo wawili nilipofuatilia nikaona ni ndugu maana walikuwa wanapiga story sanaa. Yule aliyekaa upande wangu amenivutia sanaa, nimechukua smartphone yangu nikafungua sehemu ya Notes, nikaandika maneno...
Kwanza kiuhalisia wanawake wanapenda kutongozwa, mkiwa ofisi moja na usipokuwa unawatania tania, kuna namna wanajisikia vibaya. Sasa kuanzisha mapenzi kazini ni kitu si salama sana. Lakini kama unataka kufanya hivyo nakushauri usionyeshe u-serious kwenye hilo jambo wewe weka mazoea naye kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.