Tukiomba sisi mikopo hamtupi mnaenda wapa watu wenu,nasemajeeeeeeeeee SAFI sanaaaa Nasemajeeeee Safi sana Milioni 50 Pumba nyingiiiiiiii (nisaidieni kupga ule mluzi wa dj AllyB)
Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida na uamuzi wa kukubali au kukataa upo ndani yake,si lazima wala hamna mahali pameandkwa mwanamke ukitongozwa Ukubali kuwa na huyo mtongozaji.
Lakini leo napenda ongea na wanawake vigeu geu macho juu juu ambao wao vigezo vyao wanavijua wenyewe ni vipi kwa...
Mwanamke akiongea sana anapoteza Mvuto, sifa ya mwanamke aongee kidogo, Woman with few Words...
Kuongea ongea kama radio sio wala nini,Mwanamke sifa yake ni ukimya Mdomo kazi yake Kula tu tutakavyoleta.
Huyo kashakosa sifa ya U mrs... otherwise umfanye nyumba ndogo.
Haina haja Chief, Wako ni Wako Tu Muonekano tu wala hauhitaji DNA.
Boss kuna wanawake Afya ziko vizuri,achana na hawa ambao Calender zao zina yumba yumba
Kuna ambao anajua siku mpaka tarehe ya mtoto wa kike,kiume,mapacha,nk
Wanawake wasio na changamoto ya uzazi wapo boss na Mke wangu...
Boss,mimi ni moja ya wanaume ambao kabla sija sex na mwanamke lazima tukapime
1.Mkojo (kwa upande wake)
2.Damu (kwetu sote)
Hizo vitu viwili mjomba awe mke wangu awe mchepuko ni lazima tupime.
Huyu mtoto ni wangu Boss Maana kazaliwa Haitaji Vipimo yaniii
Waifu alishaniruhusu nichepuke live live kabsa (japo alikua mbali)
Na alikua serious and the reason is "she wanted a baby" so she need my Sperm to be Strong maana kwa kufanya mara kwa mara mwanaume unazipa uimara sperms zinakua na uwezo wa kutungisha Mimba.
na kweli nilifata ushauri...
Naweza kukuruhusu ukachepuke na umtakae na urudi tuendelee ila Nisimjue.
ila hii ya kusindikazana kazini,kushuhudia utendaji kazi kwa kazi zenyewe ndio hizo
Halafu kuna wana wana mimashine imeenda shule kuliko yangu,yani nashuhudia kabisa ule mmashine unavyodumbukizwa kwa wife?
Oh no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.